@AllyAbeid14@PolycarpMDM Kipande kidogo cha kazi ya siku 2 kimefanyika mwezi na kero nyingi kisha zege inapasuka haijafika hata mwaka sehemu hata mita 5 haifiki msomi alishindwa kulisaidia taifa.
@BarakaMaviatu Sisi tunaoa washindani wao wanatimiza maana ya kuendeleza kizazi chao sio mvurugano tulio nao waswahili kwao mkee anakuja kuendeleza taratibu zenu sio kuleta zake mke akiolewa anakaa Kwa mama mkwe hata miaka 5 Kisha ndio akakae na mume wake ajifunze maisha ya anako olewa.