Majibu ya sampuli ya vinasaba (DNA) yaliyochukuliwa kwa watoto watatu na Wazazi wao ikiwemo Neema Kilugala mwenye umri wa miaka (26)aliyelalamika kubadilishiwa Mtoto alipojifumgua katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru yametoka huku ikielezwa kwamba Mtoto ambaye Neema awali alimkataa baada ya kuzaliwa akiwa na changamoto ya kiafya na kisha baadaye kufariki ni Mtoto wake baada ya vinasaba kufanana naye kwa asilimia 99.99 na Neema.
Majibu hayo ambayo yametoka leo April 3,2025 kutoka Ofisi ya Mkemia mkuu wa Serikali yametolewa katika Ofisi za Jeshi la Polisi Wilaya ya Arusha huku Neema Kilugala aliyelalamika akiyakataa majibu hayo.
April 2,2025 Wizara ya afya ilitoa taarifa kwa Vyombo vya habari ikieleza kuwa imemsimamisha kazi Muuguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru aliyekuwa akimhudumua Neema kupisha uchunguzi baada ya kudaiwa kuwa alichanganya vitenge na vya Mtoto mwingine.
#MillardAyoUPDATES
Sakata la binti Neema mkazi wa kata ya darajambili Mkoani Arusha kudai kubadilishiwa mtoto nakupewa mtoto mwenye changamoto na kisha baadaye kufariki hatimaye limechukua sura mpya baada ya muuguzi aliyemhudumia siku hiyo kusimamishwa kazi pamoja na sampuli za watoto watatu kuchukuliwa kwa ajili ya vipimo ili kuja na majibu ya sakata hilo
April 1,2025 ayo tv iliibua taarifa za binti huyo akilalamika ambapo baada ya taarifa hiyo wizara ya afya imetoa tamko leo ikiwemo kumsimamisha kazi muuguzi aliyekuwa zamu siku hiyo huku mawakili waliopo katika kampeni ya kutoa msaada wa kisheria wa Samia Legal Aid Campaign wamefika nyumbani nakumchukua binti huyo na mama yake nakuwapeleka katika hospitali hiyo ambapo wamepata majibu kuwa kuwa majibu ya vinasaba DNA yaliyochukuliwa yatatoka wiki hii
April 1,2025 binti huyo Neema alilamika kuhusu tuhuma za kubadilishiwa mtoto baada yakukaa kwa siku nne hospitalini hapo ambapo April 2,2025 Wizara ya Afya ilitoa tamko la kumsimamish kazi mhudumu wa zamu aliyekuwa akimhudumia binti huyo pamoja na kuchukua sampuli za wazazi waliojifungua katika kipindi hicho pamoja na za watoto kwa ajili ya uchunguzi wa vinasaba DNA katika ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
#MillatdAyoUPDATES
Yule mtoto mdogo aliyekuwa analala darajani Dar nakuwaliza watu wengi mtandaoni aingia Arusha
Angali kwenye video hapa nilivyompokea na kesho ataonana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda
Ilikuwa ni ngumu sana kwenda Songwe mara mbili zaidi ya kilometa elfu moja na mia tano
Lakini (mzee wa samaki) anajua kushukuru na ametoa baraka zote ๐
Iko hivi
Kutoka Mbeya mzee wa samaki ambaye aliwaliza watu wengi mtandaoni baada ya kijana @M_Mafuru kupost video yake
Hatimaye amekabidhiwa nyumba ambayo ilijengwa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali
NGUMU LAKINI NI NZURI.Nimesafiri Nakupita Mikoa minne hadi Mkoa wa Songwe nakutumia kilometa zaidi ya elfu moja na mia mbili kwa ajili ya interview na Mzee Pandisha aliyewaliza watu mtandaoni kwa kitendo cha kiungwana chakutoa samaki bure kwa kijanaa @mafuru1