Nimefurahishwa na ushindi wa Taifa Stars wa 1-0 dhidi ya Benin. Nawapongeza wachezaji, benchi la ufundi na TFF, kwa jitihada za kushinda pambano la leo. Nawatakia kheri katika michezo iliyobaki ili Tanzania iweze kufuzu kucheza Kombe la Dunia nchini Qatar mwakani.
#KaziIendelee
Ni kinyume na ibara ya 18 na ibara 20 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 kuweka zuio la haki ya uhuru wa kujieleza na uhuru wa kushirikiana na wengine. Katazo la Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry Muro kwa wananchi wa wilaya hiyo ni kinyume na Katiba ya nchi
Dear kijana Mwenzangu!
Wakati unatafuta gari huachi kutembea kwa mguu, wakati una ndoto za kujenga huachi kuishi nyumba ya kupanga ndo ivyo ivyo wakati unatafuta mchumba/Mwenza wa Maisha usiache kufurahia maisha yako ya USingle.❤️😘
Dr Nchemba anapaswa kutambua yeye mwenyewe ni mwanaharakati wa aina ya maendeleo anayoyataka na jinsi ya kuyapata. Hawa anaowaita wanaharakati kama vile ni tusi wana mtazamo tofauti juu ya maendeleo tu. Kupanga ni kuchagua. yeye amechagua kulia wengine wanaona kushoto ni bora.
Timu yetu ya Wanawake (@simbaqueensctz ) leo saa 9:30 alasiri itacheza mchezo wa kirafiki kwenye uwanja wa Uhuru dhidi ya timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), na baada ya mchezo huo watakabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake 2020/21. Wote mnakaribishwa. #NguvuMoja