@SerengetiO@AsukileFrancis@privaldinho According to transfer market, simba ndo inathamani kuliko Yanga.. alafu wewe kuwa bingwa mara nyingi it doesn't mean kuwa wewe ni Giant.. mamelody ni team ya juzi tu lakini kule South ndo Giant.. unaongelea ubingwa? π
@SerengetiO@AsukileFrancis@privaldinho Yanga haijawah kuitwa Giants na CAF... leta evidence.. na hakuna Giants wawili nchi moja.. level ndo itayo kumtambulisha kuwa wewe ni Giant wa nchi fulani
Tunafurahi kujulisha kwamba tumeanzisha ukurasa rasmi kwa ajili ya mashabiki kwenye mtandao wa Instagram.
Lengo la ukurasa huu ni kuonyesha maudhui ya matukio mbalimbali ambayo yanafanywa na mashabiki wetu kama wanapokuwepo uwanjani au kwenye shughuli za kijamii. #NguvuMoja
@moudywise@BigkakaI@Godluvbn3@privaldinho Sijakuelewa yani.. unatakaje facts kwenye maswala ya kupokeana? yani nikuelezeje yani kuwa wanapokeana?.. we jua tu kuwa simba akienda Morocco mwenyeji wake kama sio Far Rabat basi ni Raja..
@Be_FrankSr Nagawa mistari, tembeza ungo/niite dizasta, wengi wananiita profesa tungo/nakopesha ushauri/unataka usafiri kwa hisia?!, Basi mi ndo pesa ya nauli