Wanangu siwafichi kwa ground kuna wanetu wanazingua kichizi hakunaga tuzo bora uchakataji wa mbususu.
Kuchakata mbususu zaidi ya 59 sio ubingwa wala nini wanangu magonjwa makubwa makubwa bado yapo na siku hizi zile elimu za akina ferouz kwenye starehe hazipo tena afu dizaini mbususu znaogopa mimba sio yale magonjwa yetu.
Kama wazazi wako walikuzaa ukiwa safi ilinde hiyo damu mwanangu na kama kwako kuchakata mbususu ni ubingwa basi jikinge.
Tafiti zinaonesha kizazi cha kuanzia 2000 lile gonjwa wanalipata kwa kasi ya ajabu sana so umakini muhimu wanangu.
Mbususu zipo tu ila sio ndio kama maji kuwa eti ukizikosa unakufa.Hii waambie wanao wote wanaochakata mbususu kwa kujiaminisha kuwa wakitumia wese jingi wanakuwa salama.
Wakumbushe kuvaa kondomu ikibidi wastick na mama moja iliyotulia zake, hutaambiwa haya maneno na dingi au bi mkubwa wako ila mimi nawaambia wanangu wote kuongeza umakini kuna magonjwa yanaepukika wanangu.