Mainoo is suffering from academy player syndrome, because he didn't cost Man United £80m.
Carrick brought him into the team and he transformed them last season. And this summer, instead of buying a number 6 to play with him, they are making moves to replace him in the starting XI, which is weird.
Kwa sasa hivi sitongozi pisi kali tena 😔
Yani kunademu nilimpata Instagram yani Acha ni mkali kinoma 💔
Nikakutana nae dinner inshort kwenye hio dinner elfu60 ilikata bila mimi kuelewa yani kwenye chakula tu😷
Sasa tulipoanza mahusiano rasmi nikamwambia aje geto sasa yeye akaniambia "ntakuja ila nitumie hela ya nguo na kusuka we si unataka nipendeze"
Mi nikamuuliza shngapi,,,,, Alichonijibu nilizima simu siku nzima 😞
Kesho yake nikamtafuta tena akaniringiaringia ila nikamwambia hela nnayo geto we njoo wakati sina hela 😉
Basi nikamtumia nauli elfu40 kweli akaja aisee demu ni mkali bwana we 😂😂💔
Sasa demu alikua anaharaka akaniambia we fanya unachotaka ukimaliza mi niende kwa shangazi sinza apo akanirahisishia😋
Basi mi nikamkaza kwelikweli
Tulivyomaliza sasa demu anataka laki 3 niliyomuahidi
Nilichanganyikiwa akachukua kadi yangu ya benki mi nikampa password ilikua inakama laki na nusu ya biashara demu akaenda
Nimekoma aisee🤒🤒
@_muzikinow @FidQ Ni binadam cjakamilika, kuandika rhymes sikosei, japokuwa miluzi mingi lkn jibwa sipotei.., Nitaendelea kwa mshindo wa juu ka' majani na record Bongo, na kutembea kifua mbele utadhan medundwa ngumi ya mgongo😀
Maua ya @Heradkj kutoka Buza Kwa Ujugu.
1.Paid Slave Vs Wolves
Kiingilio Vyeti 😂😂😂
Mamo siyo mepesi kama tulivyokuwa tunafikiri,Hii vita nyuma yake ina Mkono wa Marekani tuh
6k followers siyo wa kumchakaza 1M followers.
Cku hz #Twitter kumepamba moto na matangazo ya biashara ya huduma ya usafiri wa mabasi ya mikoani.,😀 Tukitoka hapo tuelekee kwny bajaji na bodaboda baadae.