Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Ndugu Emmanuel Mpawe Tutuba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Dharura cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Novemba, 2022. @venusnyota
Tarehe 26 Septemba kila mwaka ni Siku ya Afya Mazingira Duniani. Lengo kuu la Siku hii muhimu ni pamoja na kuhamasisha jamii ili iweze kushiriki kikamilifu katika uboreshaji wa afya mazingira na kuzuia athari za kiafya zinazosababishwa na uchafuzi wa mazingira.
The Chief Secretary of URT @BaloziKattanga met the Minister of State of U.A.E, Sheikh Shakhboot Nahyan Al Nahyan. The leaders, among other things, discussed various issues to strengthen cooperation between TZ and U.A.E in the areas of trade and investment @Amb_Mulamula@MoFAICUAE
@DocFaustine@DadaConso@anyitike_pm Mhe kwa kufanyia kazi hili tayari Afisa Afya wa Jiji Dodoma na timu yake wapo Four Ways sasa hivi kukagua na kama alivyosema Mratibu tutakakagua maeneo ya chakula kwa wasafiri kuanzia mwezi huu wa July
Mhe. Waziri, Hili tutalifuatilia kwa karibu na tutawasilisha taarifa. Pia tumepanga kukagua sehemu zote zinazotoa huduma ya chakula kwa wasafiri katika barabara kuu zote nchini. Sehemu zitakazokidhi vigezo ndio zitaruhusiwa kuendelea kutoa huduma. @kmkmassa
Mafunzo ya udhibiti wa ugonjwa wa Ebola kwa watumishi wapya 33 Maafisa Afya waliopangiwa kwenye mipaka yalikamilika Morogoro kwa kuwakaririsha kiapo cha maadili ya utendaji uliotukuka!