@SuluhuSamia Mama umemuona lkn Refa?. Ametunyima penalty mbili za Kibu Denis. Sadia mama tupate VAR itatusaidia. Matokeo tumeyapokea ila Refa leo ni man of the Match
@Nape_Moses Ni kwa sababu Mwamba alikuwa ni mfuatiliaji, mtu wa watu, mtu wa matokeo na right kama viongozi wetu wangelikuwa na vision kama mwamba huyu, basi nchi yetu ingelikuwa mbali sana!