Partner at DIRM ATTORNEYS, Founder TAPO (Tanzania Alliance People's Organization.. Right&Justice can hardly mean the same! Founder & CEO of WE-NEWS Investiment
@MariaSTsehai Hivi aliyeturoga ni nani lakini???
Yaani mwalimu kabisa pamoja na kuelewa maana ya demokrasia na umuhimu wa uchaguzi usio na doa anashiriki haya, kesho yake anawezamfundisha huyu mtoto maana ya uchaguzi na umuhimu wa kupiga kura kweli??
@mangekimambi Unfortunately when the adoptive parents dies even the intention dies with them so as the whole process, the intent can't be transferred to the third party.
That being the situation, even the second question is automatically overtake by event regardless of the adoptee situation
@BabylonSystem_ @BMatungwa Jaribu kuwa mfuatiliaji chief nakuhakikishia utayaona, lakini ukisubiri kuilaumu kuwa haifanyi itakuwa ngumu sana kukuelezea maana naamini hayo niliyokutajia ni mojawapo ya yanayofanywa na mengineyo mengi.
@BMatungwa Hakuna tofauti na kusajili mchezaji huru ukajisifu umebomoa team πππ
Wangemchukua Sugu aliyeshinda labda wangewashtua CHADEMA, but kwa Msigwa, π€π€π€
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Walianza hivihivi kwa mwendazake mpaka akajaa, naye akaingia kwenye mfumo mpaka akajiona kiranja wa malaika, tupunguze sifa zisizokuwa na maana na zinazolazimisha kufuru za makusudi kabisa, kuna maishe nje ya siasa chafu na uchawa
@BMatungwa Asilimia kubwa naamini huwa wanakuwa na silaha, so huwezijua kinachojiri kabla ya mauwaji.
Nataka kuamini kabisa kwamba wahifadhi wetu Bado ni binadamu na wanautu kabisa utokanao na malezi ya kitanzania
Tamasha litafanyika Morogoro mjini kwenye viwanja vya Gymkhana siku ya tarehe 27/04/2024 likifuatiwa na safari ya Mikumi national park 28/04/2024 kurudi 29/04/2024 na kielekea Selous Nyerere National Park 29/04/2024 kurudi 01/05/2024.
WeNews, kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utali tunayo furaha kuwaletea Tamasha na Ziara ya The "OLD GOLD TOUR". Ziara hii nisehemu yakuendeleza jitihada zakutangaza utalii wa ndani pamoja na kuthamini mchango wa Wasanii Wakongwe kwenye ukuaji wa tasnia ya sanaa na ...
utamaduni.
Kwa mara yakwanza Ziara hii itazinduliwa rasmi, mkoa wa Morogoro na itahushisha wadau kutoka Sekta ya Utalii, Viongozi wa Serikali, Wasanii Wakongwe, Djs na Jamii kwa ujumla.