19/02/2026⚽️
✅1. Celtic | Stuttgart - Over 1.5
✅2. Brann | Bologna - Under 3.5
✅3. Panathinaikos | viktoria plzen - Under 3.5
✅4. Juventus W | Wolfsburg W - Over 1.5
✅5. Man Utd W - Over 0.5
✅6. Al Ahli - Win
✅7. Ludogorets - Win or lose
✅8. Celta Vigo - Over 0.5
✅9. Fenerbahce | Nott forest - Over 1.5
✅10. Lille - Win or lose
Here We Go ♨️
BASKETBALL 🏀 TONIGHT
Code. 4C7UF
Stake High 🫵🏾 600,000
Kama ulikuwa unateseka na mikeka ya lost huko, nimekuletea huu mkeka weka kila kitu hapa 🤝🏽
Fungua account yako Chap hapa 👇🏽
🔗 https://t.co/s8xk1mzxSe
Promo-code jaza 👉🏾 WILLZ
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo December 14 imeeleza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres katika Makao Makuu ya UN New York Marekani amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Kombo.
Taarifa ya Wizara hiyo imeeleza kuwa Guterres akiupokea ujumbe huo amesisitiza kuhusu Tanzania kuwa kielelezo cha amani na mshikamano katika Afrika na duniani kote.
Aidha Guterres ametoa wito kwa Tanzania kuwa Umoja wa Mataifa unataka kuona Tanzania ikiendelea kubaki moja na kuwa mfano mzuri huku akisisitiza umuhimu wa kufanya mazungumzo ya kitaifa ya maana na ya kila Mtu yenye lengo la kushughulikia chanzo cha matukio ya vurugu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 na kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa matukio kama hayo hayajitokezi tena.
Aidha Guterres ameihakikishia Tanzania kuwa Umoja wa Mataifa utaendelea kuipa msaada wakati wa na baada ya kumalizika kwa jukumu la Tume ya Uchunguzi iliyoundwa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeeleza taarifa ya Wizara ya Mambo ya nje.
#MillardAyoUPDATES
Historia ya kubashiri barani Afrika imeandikwa upya
Wachezaji wa Aviator kutoka Ghana, Cameroon na Zambia wamepokea TZS 2,873,750,000 Bilioni kwa pamoja kupitia @betPawaTZ.
Dau dogo,ushindi mkubwa na wa kweli sasa ni zamu yako kujaribu!
#betPawaBIGWinners#betPawaAviatorWinners