Hata kama MTU amekukosea kwa kiasi gani usije kuwaza kumuwa mtu, hivyo ndivyo shetani anawaza, wewe fanana na Mungu waza kusamehe na kutoa nafasi ya pili.
Waovu hawata rithi nchi, penda wemaโฃ๏ธ
Kwenye picha ni @ShushoChristina gospel singer.
Cheers to the New Year 2026
Kwa heri 2025 - Mwaka mgumu wenye mafunzo magumu ya kutukomaza ๐๐ฝ
Things will never be normal after 2025 kwa wengi wetu but we enter 2026 stronger, wiser and more resolved than ever!
Team Hakuna Kushindwa โ๐ฝ