@Sulphuric_aci17 Kwani refa ni mmoja tu Tanzania kila siku ni yeye tu ๐๐๐swali jepesi Kabisa, kwanini yeye tu ? Kwamba wengine hawana sifa au.
@RKDidier@MickyJnr__ Yes, they should stop being used for some team's benefits, we're expecting them to be neutral and impartial not to favour one side that is what we need to see.
@Jerryblacky01@Innocen89950594 ikiwa ni kweli kafanyiwa hivyo, kasome kanuni ya adhabu sura ya 16 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2023, kifungu Cha 201 na 202 kuna defense unaitwa PROVOCATION ila sio kwamba uuwe tu usingizie no kuna namna ya kupima kujua kuwa Wewe kweli uliuwa under provocation
@fintanjr_ Wazi Kabisa hamna mchezaji hapa Duchu anisamehe tu niseme kwamba ni Moja ya wachezaji wasiotambua umuhimu wa kazi yake na umuhimu wa kupata nafasi kwenye Timu kama Simba na kuonesha uwezo, hana uwezo Kabisa wa kuanza mbele ya Chilambo