Kazi zetu ni zile zile za kila siku
Home electronics (TV, soundbars, Fridges, Fan, freezers, microwave oven n.k)
Electronics devices(Smartphones n.k)
Ukiwa dar free delivery
π0747625726
Kuna kitu kimenishangaza katika mitandao ya simu mikubwa Bongo yenye MaCEO mzawa ni moja tu.
Philips Besiimire (Mganda) - CEO Voda
Charles Kamoto (Malawi) - CEO Airtel
Pierce Bacara (Mfaransa) - CEO Yas
Bui Van Thang (Vetnam) - CEO Halotel
Moremi Marwa (Mbongo) - CEO TTCL
Ni kwamba hakuna Wabongo wanaoweza hizi nafasi au Wamiliki wanakuaga na vigezo vyao hawataki mwenyeji awe CEO
Imagine hii video halafu ndio tungekuwa tunatandaza boli la maana na tupo kule juu kwenye title race β¦ God when π₯²
Plse Gaffer make us better . Do something .