@barakawamb@BrendaRupia Acha ujinga wewe.Kwani walipoamuru kuua maelfu ya wananchi during MO29 ule ulikuwa ni utu? Bila uwajibikaji mazingira haya yataendelea. Si alisema kifo ni kifo tuu? Sasa what’s the problem?
@justyfromNorth@AnnaTibaijuka That’s irrelevant here EVEN if it was true! Hoja hapa ni ccm iliyo tofauti kabisa na mwanzo wake. Ccm iliyokosa maadili na haishindani tena kwa hoja. Ccm iliyojaa damu za MO29. Ccm ambako sifa ya kuwa mwanachama ni kutetea UOVU. Ccm Isiyojali UTU.
@royalmediatz Kwa UONGO huu ndio maana MO29 ilijitokeza. Ccm HAWAJAJIFUNZA CHOCHOTE na wala hawataki kufanya hivyo kuhusu nini kilisababisha watu kuandamana. Kauli zao za kuongoza mpaka Yesu arudi wasahau. Ubabe huu una kikomo.
@Royaltv_plus Hivi huyu Odero ana akili timamu ama ni masharti aliyopewa na ccm baada ya kulambishwa asali?? Eti "hivyo si sahihi kwake kutamani kukaa gerezani kwa miaka mingi". Lissu anataka hii kesi ya mchongo IMALIZWE mahakamani ASAP na sio kwa MARIDHIANO FULL STOP
@cletucchi_08@almasially4352@godbless_lema Musimamo wa Chadema ni kwamba hawaitambui serikali hii kwani hakukuwa na uchaguzi bali mauaji. Sasa yeye anaishauri serikali ipii??
@HEDrArikana BULLSHIT-Blaming 'outside forces' for unrest is an insult to African youth. They didn't need a foreign script to protest; they reacted to a stolen democratic process and the rejection of #NoReformNoElection demands, on top of abduction s & unemployment.
@Jambotv_@PaulMchacha_ Chama cha matendo ya kuua, kuteka, kufira,etc, etc. As for uwajibikaji ZERO kabisa kwani MO29 HAKUNA hata mtu mmoja aliyewajibishwa so far! Na wizi wa hela za walipa kodi ndio kabisaa,! Ruksa kula kwa urefu wa kamba yako!
@Royaltv_plus Hivi huyu MSALITI si alifukuzwa chama? Kwanini ma press conference kila kukicha?? Ana fadhiliwa na nani? Huyu ni wa kumsalimia. Anakera sana!
@Twaha_Mwaipaya Kwahiyo kajinyonga baada ya kujikata visigino, kujikata pua, kujing’oa kucha, kujitoboa macho na kujiingizia chupa sehemu za haja?? Huo ni uchunguzi wa kisenge sana😮
@swahilitimes Mbona huyu mshenzi anakwenda kinyume na msimamo wa chama? Lissu mwenyewe kakataa kutolewa kwa maridhiano! Huyu achunguzwe. Kapata wapi hela za kuita vyombo vya habari kutoa haya?
@JamiiForums Pumbavu sana. Huyu anatafuta uteuzi tuu! Wawezaje kusema tumepita chaguzi zote bila matatizo baada ya MAUAJI ya maelfu ya wananchi during MO29 na mpaka sasa HAKUNA hata mmoja ALIYEWAJIBISHWA? Haya maccm yapunguze bangi.