@jumaf3 Hakuna cha ku wake up usidanganyike na kelele za social media kwanza uhuru ukizidi sana ni uharamia so kila mtu afanye kile anachotakiwa kufanya
Nakasirika watu kama kina Mange na Maria wanafanya biashara na uhai wa watu. Kuna malalamiko ni sawa kwenye maisha hata nyumbani kwako hakuko kamili ila kuna uongo wa kutunga mnafanya. Mnabebesha vijana uongo wanaingia kwenye shida ninyi mnageuza shida zao hashtag kupata pesa!
@RyderWaylon@vigilantWireman@MsomiKhan18 Bro usifikiri like matokeo ya mtu either aliperform vizuri or vibaya ni anakua mtendaji mzuri, SAUT inakua juu kwenye baadhi ya course coz of practice wanazofanya mfano ni journalist wake na wanasheria
Islamic civilization is based on tawhid and honoring the human being for their humanity, rather than their gender, color, language, ethnicity or geography.
Antonio Nugaz ni Tafsiri sahihi ya โVitu gani Vijana wa Kiislamu ambao Allah amewaruzuku umaarufu na nafasi vitu gani wawe wanafanya katika mitandao ya kijamii kuacha athari chanya kwa Umma.