Mpango wa kumuua Rais wa Stanza unakamilika chini ya Kiongozi Mkuu wa Ulinzi wa Rais bwana Dogas Maclaurian kwa msukumo wa "Mabeberu" wanaotaka kuendelea kupusa rasilimali za Stanza.
Bwana Dogas anaahidiwa donge nono kama akikamilisha mpango huu nyeti na wa hatari kupata kutokea katika taifa la Stanza.
Daktari binafsi wa Rais anaehusika na magonjwa ya mishipa ya fahamu ya kichwa Dr. Bonaventure Gervas anapangwa kutumika nje ya matakwa yake kutimiza azma hiyo.
Je mpango huu utakwendaje?
Soma kisa hiki cha kusisimua na vingine vingi katika Riwaya hii ya #ninaapakwamba
Lets connect 0717947818.
๐ธ @BabaAlexa
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Waiting for the pages bro..!! Time runs slow..!! Mind and eyes are thirsty while the fingers are burning up to flip the papers..!! Make it quick..!! #pageschaser ๐
From a chance meeting with Mwalimu @MabalaMakengeza at a coffee bar in 2019 to hosting him at my residence in 2026 as he critiqued the first draft of my fourth novel,,,what a journey. Talent may open doors, but mentorship helps you walk through them wisely.
Iron sharpens iron.
BAJETI 2026/2027. Hapa jambo kubwa ni je mikopo yetu ni HIMILIVU? Hapana imezidi. Kwani kwa takwimu hizi
Mapato ya serikali ni Shs T36.99 kodi+T9.24 mengineyo =T36.23.
Madeni ni T7.84 yaliyoiva+T6.86 riba=T14.70.
Madeni kama asilimia ya mapato halisi ya serikali : T14.70/T36.23 = 40.57%.
Deni himilivu halitakiwi kuwa zaidi ya asilimia 18% ya mapato ya serikali. Kwa hiyo tumevuka mpaka (kima cha juu) hata kama WAKOPESHAJI watatwambia vinginevyo. Bila misaada zaidi TWAFA๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธKodi zikizidi uwezo wa wananchi kulipa zinakwepwa au kufirisi walipaji. Inakuwa vicious circle.
From a chance meeting with Mwalimu @MabalaMakengeza at a coffee bar in 2019 to hosting him at my residence in 2026 as he critiqued the first draft of my fourth novel,,,what a journey. Talent may open doors, but mentorship helps you walk through them wisely.
Iron sharpens iron.
Huo mbinuko una vipimo vyake. Hiyo engo ya mgongo.
Akipita unapinda shingo kidogo kama unamtazama chek yule wa nyuma kabisa kule.
Then there is a psychological meaning behind distance ndefu na iliyo empty kwenye ma palace na presidential residences.
Interesting stuff.๐คฃ
Senegal ๐ธ๐ณ President Bassirou Diomaye Faye has dismissed Prime Minister Ousmane Sonko and dissolved the government.
Faye and Sonko came to power together as close allies, but growing disagreements over party leadership, economic decisions, and plans for the 2029 election created deep tensions between them.
The move marks a major political split that could reshape Senegalโs leadership and future direction.