4. FUKUZIA MALENGO YAKO
Malengo yako yanatakiwa kuwa mbele kabla ya wasichana. Fikiria hili Mwanajeshi anaenda vitani, anatumia siku yake na mke wake, asubuhi inakuja wanapata chakula pamoja na Mwanamke anamuuliza Mwanaume kama kweli anahitaji kwenda vitani.
Atamwambia atamkumbuka sana, anatamani abaki nyumbani na waangalie filami pamoja na Kwa muda Mwanajeshi anafikiria kwa muda na kuanza kurudisha mizigo yake ndani na Mwanamke anauliza unafanya nini, Mwanajeshi anasema nimebadilisha mawazo yangu na sitaki kwenda vitani bora tubaki wote nyumbani na tuendelee kuangalia tamthiliya.
Mwanamke atafurahia muda ule lakini atapoteza heshima kwako na atapunguza kuvutiwa na wewe, KWANINI?
Kibaolojia wanawake wameumbwa kuheshimu mwanaume anayeweka malengo yake mbele kuliko kitu chochote. Kuna wakati atalalamika kwanini humsikilizi lakini hii itamfanya kuvutiwa na wewe zaidi na zaidi.
Haijalishi atasema nini Malengo yako yanatakiwa kuwa mbele kwanza. Kama ulipanga kwenye kufanya mazoezi na Mwanamke wako akataka mbaki mle pizza kidogo na kuangalia movie, nakushauri nenda kufanya mazoezi.
Unaweza kuangalia movies na kuwa pamoja baadae ili mradi tanguliza lengo lako mbele kuliko chochote. Shida ya wanaume wa Leo wapo mbali sana na misingi ya Masculinity na wameruhusu wanawake kuotea malengo na kuwabadilishia mipango yao.
Zingatia status, utawala, abundance & malengo kama utaweza kuunganisha vyote vinne tulivyoviongelea utajiona mwenyewe upo kwenye anga zingine kuliko wanaume wengi.
Kama unataka kukua kiakili, kiafya, kiuchumi & kihisia Nifollow @MfalmewaX1 .
Baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD) ni mmoja tu. Umpende utamuelewa, usimpende utamuelewa. Amenyooka kama rula. Watu pekee wasiomuelewa ni wale waliokosa chanjo ya pepopunda ama kifaduro. Period.!
Hizo kwenye picha kwa kingereza zinaitwa SKIN TAGS AND WARTS nimekosa kiswahili chake!
Lakini kitaalamu zinaitwa Dermatosis papulosa nigra ukweli ni kwamba hazidhuru lakini zinakera!
Moja ya mmea bora unaoweza kuyaondoa hayo masunzua au masundosundo kama.l wengine wanavyoyaita ni mmea wa mnyaa au Pencil Plant !
Cha kufanya , kata tawi au kata mnyaa kwa wembe kisha kinga ule utomvu weka au paka eneo utomvu ule kwenye eneo lenye hayo masunzua.Yatatoweka na kupukutika kama majani ya kiangazi. Anza kupaka mafuta ya mgando kabla ta kupaka ili kuepusha kuunguzwa na mnyaa huo.
N.B: Linda sana macho yako! Maziwaziwa yake yale meupe yakidondokea usoni yanaweza kusababisha upofu .Mara ikitokea yakadondokea usoni mtafute haraka mama anayenyonyesha akuweke maziwa yake mara 2 hadi mara kwa siku unaweza pona
ANGALIZO :Usiweke mnyaa kwenye kidonda .
Asanteni.
Asili huponya!
Ilijulikana ametoka kwenye familia yenye kipato cha kawaida.
Baba yake alikuwa alimiliki duka la kaida sana la bidhaa ndogondogo mjini Hoima.
Mwanae Patric akaogelea kwenye maisha ya kimasikini.
Lakini mzee wake, alihakikisha Patrick anafika chuo kikuu
𝗔𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗢𝗧𝗘𝗭𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗝𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨 𝗪𝗘𝗕𝗦𝗜𝗧𝗘 𝗛𝗜𝗭𝗜 𝟱 𝗭𝗔 𝗔𝗝𝗔𝗕𝗨 𝗨𝗠𝗘𝗖𝗛𝗘𝗟𝗘𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗭𝗜𝗝𝗨𝗔
Umechelewa sana kuzijua hizi website muhimu sana kwa ajili yako, hizi ni website tano amazing sana unaweza kuzitumia Kwa upekee sana
Uzi uko👇
Kaka usipotoshe followers wako. CDF ni mkuu wa majeshi kwa sababu jina rasmi la jeshi letu ni Tanzania Peoples Defence Forces na chini ya hizo defence forces yako majeshi manne;
1. Jeshi la Nchi Kavu (Army)
Hili ndilo jeshi kubwa zaidi kati ya majeshi yote, likiwa na jukumu la kulinda mipaka ya nchi, kuhakikisha usalama wa ardhi, na kushughulikia vitisho vya nchi kavu.
2. Jeshi la Anga (Air Force)
Hili lina jukumu la kulinda anga la Tanzania, kufuatilia na kujibu vitisho vya angani, pamoja na kutoa msaada wa kiufundi kwa majeshi mengine.
3. Jeshi la Wanamaji (Navy)
Linahusika na ulinzi wa mipaka ya bahari ya Tanzania, ikiwemo Bahari ya Hindi, na kulinda rasilimali za baharini.
4. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Ingawa linaeleweka zaidi kwa jukumu lake la kujenga utaifa, JKT pia linatoa mafunzo ya kijeshi kwa vijana na kusaidia katika operesheni za dharura kama vile majanga ya kitaifa.
Kila moja ya majeshi haya yanafanya kazi kwa kushirikiana kuhakikisha usalama wa taifa kwa ujumla.
5. Jeshi la Akiba (Reserve Force)
Aina za Jeshi la Akiba tulizo nazo:
Jeshi la Akiba la Kawaida (Regular Reserve): Hii ni akiba ya askari waliomaliza muda wao wa utumishi katika Jeshi la Kawaida lakini wako tayari kurejeshwa jeshini wakati wa uhitaji.
Jeshi la Akiba la Kujitolea (Volunteer Reserve): Linajumuisha raia waliopitia mafunzo ya kijeshi kwa hiari, mara nyingi kupitia taasisi kama Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Majeshi yote hapo yana kamando yake. Mkuu wa Majeshi Tanzania (CDF) ndio anakua mkuu wa majeshi yote hapo juu. Kwa hiyo CDF kuwa "mkuu wa majeshi" haihusishi hayo majeshi mengine kama jeshi la polisi, jeshi la uhamiaji nk.
Hata ukiangalia hawa wakuu vya ulinzi na usalama wako chini ya mfumo wa wizara tofauti.
1. TPDF- Wizara ya Ulinzi
2. Polisi/Magereza/Uhamiaji- Wizara ya Mambi ya Ndani
3. TISS- Ofisi ya Rais
Ila CDF huwa anakua mwenyekiti wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ila hiyo sio direct reporting line ni katikaa mfumo wa Baraza la Usalama la Taifa (National Security Council) ambacho ndio chombo kikuu cha mashauriano ya maswala ya ulinzi na usalama ikiwa naa wajumbe wafuatao;
1. Rais (Mwenyekiti)
2. Makami wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Waziri wa Ulinzi
5. Waziri wa Mambo ya Ndani
6. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
7. Na wajumbe wengine.
Nawasilisha.
UNATAKA KUANZISHA BIASHARA YA KUUZA DAWA ZA BINADAMU NA HUJUI UANZIE WAPI?
TARATIBU ZA KISHERIA ZIKOJE?
JIFUNZE KISHERIA NAMNA YA KUFUNGUA BIASHARA YA PHARMACY NA UKA RUN BILA MASHAKA.
_MAOMBI
_ GHARAMA
_FINES/KIFUNGO👇
Deusdedith Soka (29) mwanasiasa na mwanaharakati aliyetekwa na kupotezwa tangu Agosti 18, 2024. Baba na mama yake walifariki akiwa mdogo. Amelelewa na bibi yake. Ukoo wa Soka umezungumza kuhusu Deusdedith. Bibi yake Deus anasema "waniletee hata maiti ya mjukuu wangu nikazike".
KWAHERI UJAMBAZINI....!
Basi siku hiyo ya Ijumaa ya 20 September 2024 ndiyo siku niliyotolewa ujambazini na kupelekwa upande maalum (special wing) wanakoishi mahabusu ambao ni watoto chini ya umri wa miaka 18 ,mahabusu na Wafungwa wengine.
Huko special wing tupo jumla ya wafungwa na mabahusu kama 67. Kati ya hao, mahabusu watoto ni kama 12 tu. Selo yangu namba mbili palikuwa na mahabusu 4 na wafungwa 3 jumla tulikuwa tunaishi watu 7.
Kwanini wanaita special wing? Ni swali kila mtu anajiuliza ndani ya gereza na nje ya gereza lakini hakuna mwenye majibu kamili. Kwa sababu siku hizi hata Ujambazini kuna TV zenye ving'amuzi vya DSTV na AZAM kila Jengo.
Ujambazini kula chakula cha gerezani (ugali maharage umejitakia tu) sababu watu wa Ujambazini wanaruhusiwa kuweka order ya chakula cha canteen.
Ujambazini maji ya kuoga ni uhakika wakati wote. Ujambazini pia wanaishi mahabusu wazungu na mahabusu wa mataifa mbalimbali kama Nigeria, Ethiopia, na Uganda.
Special Wing na ujambazini tofauti kubwa ya haraka ni idadi ya watu wanaoishi Jela hizo, kwa mfano selo zote 10 za ujambazini wanalala watu idadi ya wanaokadiriwa ni 600 wakati Selo 5 za Special wing zinakadiriwa kuwa na watu 60
Wakati ujambazini kuna selo inabeba watu 200 kwa pamoja, special wing selo kubwa ilikuwa ina watu 17 na inabeba hadi watu 23 tu. Selo ndogo kama niliyokuwa nalala mimi kule special wing inabeba watu 7 hadi 11.
Kuhusu nani anatakiwa kuishi ujambazini na nani anatakiwa kuishi special wing ni swali hakuna mwenye majibu kwa kuwa vigezo vya nani awa wapi havipo wazi sana.
Ujambazini kuna wazungu kama Robert Maitland rafiki yangu yeye ana miaka 14 Ujambazini, Segerea na cha ajabu analalamika yupo Jela miaka 10 bila kifungo wala hakuna kesi inayomkabili wala hajui atatoka lini.
Duh! inatisha eeeh.. kua uyaone ndiyo hii sasa, nitakupa hii stori siku nyingine kwa kirefu zaidi. Ujambazini wameshawahi kuishi watu maarufu na matajiri kwa muda mrefu na maisha yakaenda sawa tu.
Ndiyo sababu baadhi ya huduma kama za TV na ving'amuzi kuwepo ujambazini, ni baada ya mahabusu na wafungwa wakishua kupelekwa kule na kujinunulia mahitaji hayo au kuboresha sehemu zao za kuishi kama vile tiles vyooni na kadhalika.
Basi shangwe. Upendo na heshima kutoka kwa mahabusu wa ujambazini ulifanya niondolewe ujambazini na kupelekwa kwenda kuishi special wing ndani ya selo namba 2.
Washikaji wa Ujambazini wakawa wananifuata bado kuja kunipa hadithi za kesi zao na mambo mablimbali ambayo walikuwa wanahisi ningeweza kuwasaidia
Hata hivyo baadae gereza likaweka ulinzi mkali wa askari zaidi ya watatu katika geti la kuingia special wing ili watu wa ujambazini wasikutane na mimi na mimi nilipigwa mkwara hakuna kutoka nje ya geti la special wing kwenda ujambazini bila ruhusa ya askari Magereza.
Nilikuwa nikitoka special wing kwenda popote lazima niwe chini ya escort ya Askari au nyapara, yote kunizuia kukutana na watu wangu wa ujambazini
SELO NAMBA 2, SPECIAL WING
Kwa historia naambiwa alikuwa anaishi Mzee Rugemarila hata umaridadi wa kuweka wavu wa kuzuia mbu (mosquito net) na maboresho ya tiles choo cha selo namba 2 ni jitihada za Mzee Rugemarila kwa fedha zake binafsi.
Ukienda selo namba nne special wing utaambiwa alikuwa anaishi Habinder Seth na Selo namba tano ni maarufu kama selo ya Freeman Mbowe.
Selo namba mbili ndani tulikuwa na watu saba. Wanne wafungwa (Chi, Lee, Aboubakar na Sam na Watatu ni mahabusu Mimi, Reu na Kimaro, familia hii ya selo namba 2 nimeishi nayo kwa muda mfupi lakini nitaikumbuka daima kwa maisha yale ya furaha, upendo na faraja.
Chi na Lee ni wafungwa tena manyapara lakini ni raia wa china. Lee anaongea kingereza na kiswahili kwa taabu sana, ni mtu mzima anajua mambo mengi sana na kila muda selo tulikuwa tunamskiliza kuhusu stori zake na masomo mbalimbali kuhusu,maisha,biashara na habari za fursa Duniani.huyu ni rafiki ambaye namsubiri kwa hamu nje akimaliza kifungo chake 2027
Wakati Chi ni mchina pia lakini kwa sasa anaongea kiswahili kama mndengereko wa Chumbi au Mzaramo wa Samvu la Chole au Homboza. Kwa mara ya kwanza nilikutana na Chi nilipopelekwa gereza la Keko kwa wiki 3 mwaka 2014 wakati nilkiwa na kesi Kisutu ambayo hata hivyo kesi hiyo ilikuja kufutwa baadae
Mimi na Chi tulikuwa tunaishi wote special wing, Gereza la Keko, wakati huo alikuwa hajui Kiswahili kabisa. Miaka 10 baadae tumekutana tena Gereza la Segerea. Safari hii yeye ndiye alinikumbuka na kuniambia tulikuwa wote Keko.
Chi anasema hakunikumbuka kwa Jina wala sura yangu, anasema amenikumba kwa stori ndani ya gereza. Mtu anayeweza kukusanya kiringi cha wafungwa na mahabusu gerezani akaanza kupiga nao stori kama anafahamiana nao au kuishi nao miaka 20 iliyopita.
Hadi watu ndani ya Jela wanasahau kwenda kula sababu ya stori, akawaza ashawahi kuonana na mtu kama mimi Keko kisha akaniuliza kama ndiye mimi, nikamjibu ndiyo nilikuwa ni mimi na washtakiwa wenzangu Sabula na Mramba lakini mimi ndiyo nilikuwa mtengeneza genge la hadithi na stori maarufu pale special wing ya Keko 2014.
Ndani ya Selo namba 2, special wing sikuwahi kuwa na huzuni, majuto au upweke.Tuliishi kwa amani na furaha sana kama ndugu wa damu.
Ingekuwa inaruhusiwa kisheria kurudi gerezani basi ningeweka ratiba angalau kwa mwaka niende mwezi mmoja au miwili niishi na wale watu wangu wa nguvu. Mungu wetu awatunze sana.
Uzi: DEAR UJANA😔
1. •Dear Ujana.. ni wewe uliyenifanya niishi na dhambi ya kuogopa kuchekwa, huku kauli ya watu watanionaje ikikiathiri kichwa changu.
2. •Dear UJANA Kila kitu uli control wewe, wachache kwenye nahau wakakufananisha na UJANA maji ya moto..
3. •Dear UJANA Ni wewe ujana uliyefanya nijiingize kwenye matumizi ya bangi na pombe kali kwa kisingizio cha kupambana na stress..
4. •Dear UJANA Hasiyezipa kipaumbele starehe, kwenye kizazi chako anaitwa zoba na mshamba..
5. •Dear UJANA Unaona ulipotufikisha leo hii?
6. •Dear UJANA Cute Neyla mwenye tattoo kila sehemu uzee umemkuta akiangaika kwa mwamposa kutaka mafuta ya kumfanya apate ndoa..
7. •Dear UJANA Nithan Handsome boy wa kitaa yupo kitandani maradhi ya ngono yanamsumbua..
8. •Dear UJANA Yule Twahir waliyemcheka domo zege, anayewaogopa wanawake wazuri, Kwa sasa ana familia na ni mfano mzuri kwa vijana.
Nawasalimu Vijana wenzangu..✋
Leo tumeandika na Kalamu ya mwalimu wa Zamu @AziziKasese ✍️
Sometimes March 2013
Wakili Fatuma Karume alisafiri kutoka Dar kwenda mkoani Kilimanjaro.
Wakili huyu alikuwa amesafiri akiwa amebeba nyaraka furani ya muhimu.
Nyaraka ile alikuwa anaenda kumsomea na kumkabidhi mzee fulani aliyefahamika kwa jina la Juma
Ukitaka kuangamiza jamii hauna sababu ya kutengeneza ATOMIC BOMBS , wewe just destroy the ART OF THINKING. Huyu ni mtu mzima. Tuna tatizo kubwa la MINDSET Nchi hii kuliko hata wale maadui wa Nchi aliowasema Mwalimu Nyerere. Nchi imeharibika sana. Tutakuja kujua zaidi tukiwa tumechelewa sana.