1/13
UJUE MLIMA KILIMANJARO
Mlima Kilimanjaro ni mfalme aliyejizatiti na kujificha miongoni mwa mawingu ya Afrika. Ni mlima ambaye hutawala ardhi ya Tanzania kwa macho ya jua na uso wa barafu, huku kikosi chake kikubwa kikichora mistari ya ukakamavu angani.
Inaendelea.......
@Ireneigora Umeongea kwa hisia ila haujui hiyo taaluma ina hitaji nini. Haujui huyu mwanafunzi akifeli mwalimu kinamkuta nini? Walimu wanaweza wasiwachape wanafunzi kabisa ila hamtakua tayari kuyapokea madhara yatakayotokana na hilo jambo.
@chapo255@christopherjul8 Kama amefanikiwa kuifikia hadhira yake acha aendelee, kila msanii ana utambulisho wake. Uchague kua shabiki yake au usiwe ila usiseme anafanya utoto, respect.
@AbsalutC@Gaspinho15 Kwani kua na watu wengi ni kurogwa? Kuna ubaya gani? Na je wazungu kua na watu wachache ni jambo la kusifu? Acheni hizo mentality za kusifu wazungu kwa kila jambo