@Twaha_Mwaipaya Mimi sipingani na watu kuandamana kwa sababu Katiba yetu inaruhusu. Lakini kwa mtazamo kuyaita maandamano ya 29 Oktoba ni kuyakosea heshima maandamano. Zile tukiri zilikuwa vurugu siku ya 29 Oktoba. Tunapaswa kusema ukweli kabisa, Tz ilikuwa na vurugu na sio maandamano.Hakika.
Tanzania imegawika katika sehemu kuu tatu kwa sasa. Ile wanayotaka wanaotawala. Ile wanayotaka wanasiasa. Na ile wanayotaka wananchi. Watawala wanasema wanailinda Tanzania ya wananchi. Wanasiasa wanasema wanaitafuta Tanzania ya wananchi. Tufanyaje tusiwe Tanzania tatu?
@Phbhimself Msingi wa jambo au tukio lolote in physical entity ni zao spiritual realm. Kwa tafakari yako unadhani huu moto nani amekoka na nani ameshindwa kuuzima au kuzuia usikokwe?
@Jambotv_ Mh. Waziri @Dr_DGwajima nakusihi sana kwa Jina la Mwenyezi Mungu hebu fuatilia hili jambo kama ni kweli tuwanusuru hawa watoto. Naamini hawakupenda kulala mtaani, ni mfumo wa maisha uliowaleta duniani. Nadhani wengi wao watakuwa mayatima hawa. Nakuamini mama sina shaka na hilo.
@godbless_lema Bro, Lakini natamani sana hao Gen Z unaowahamasisha siku ya tarehe 9 Disemba jitahidi sana wewe binafsi, familia yako na ndugu zako muwe sehemu ya hayo maandamano sio mnaandamana mkiwa haipendezi kabisa. Najua wewe ni mwangana sana utafanya hivyo.
@OtienoGodoni@mshambuliaji Si amesamehewa? Kama hakuwa na kosa kwa nini alijificha? Maana alipaswa atoke hadharani kama angepelekwa mahakamani anhetoa ushahidi na kujitetea kuwa hana kosa. Changamoto kubwa niliyoiona ni kuchanganya dini na siasa
@LindaJohan53495@mshambuliaji Nadhani walikuwa wanamtafuta atoe ushahidi wa hicho alichokuwa anakisema, kwa sababu alikuwa anasema anaujua mtandao. Nadhani ilikuwa kuwasaidia polisi. Mara nyingi hata wewe ukitoa tuhuma juu ya jambo watakutafuta ili uwasaidie kupata ushahidi kamili wa kushugulikia jambo hilo.
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ Unajua ukijua yuko kazini sio tatizo ila ukiwaza tofauti ndo tatizo linapoanzia. Kama ana fani ya kuigiza na mpenzi wako au mke wako usimharibu future yake Kwa wivu usiokuwa na msingi. Nsawa na mtu ameolewa au kuoa Serial killer au special operative for espionage. No difference
Mhe. Waziri, saidia wajane na mayatima kwa kuifanyia marekebisho Sheria ya Ndoa na itamke wazi wazi nani anapaswa kurithi Mali za Marehemu ikitokea kaacha mke na watoto au amekufa pasipo familia. Jina lako litakumbukwa daima maana kesi za mirathi ni nyingi sana na zinaumiza watu
Kuna haja ya kuipitia Sheria ya Ndoa na wajane wengi wanapitia mateso makubwa sana hasa kama mme alikuwa na Mali. Kuna baadhi ya makabilia ndugu yao wa kiume akifariki unakuwa sio msiba tena ni heka heka za Mali utafikiri hata wanajua asili ya utajiri wa ndugu yao
@Dr_DGwajima Kila siku huwa nasema Sheria ina shida mahali, sidhani kama tulihitaji hata kukaa mahakamani kujadili kuhusu mali ya Mme arithi nani endapo mke halali yupo,kuna vitu havihitaji mawakili wala kurudi rudi mahakamani,mtu akifa mali apewe mke,ndugu wanapewa kiburi na Sheria hizi!
@officialshakuu Ukimuona mshauri yafuatayo:-
1. Hawezi kumshtaki kwa sababu huyo sio mme wake wa ndoa ya aina yoyote.
2. Kama anatamani kupata mtoto hasahau yote achane na huyo Mwanaume aanze maisha yake binafsi. Kumbuka ni mme wa mtu kwahiyo yeye alikuwa kipozeo tu.
3. Nyumba asiwaze sio yake
@gaspar_gbk @adrianijr@ayubu_madenge Yeye ana assign watu kwa ajili ya kumpata mtu anayestahili kufanya Kazi anayotaka(vetting). Hivyo kupitia intelligence yake, vyama vya kitume na maaskofu, makadinali wa eneo Mahalia wanaweza kumpatia taarifa za aina ya mtu anayemtaka kwa ajili ya Kazi anayotaka ifanyike
@gaspar_gbk @ayubu_madenge Ndugu yangu Vatican ni Nchi na Papa ana wawakilishi karibu nchi zote duniani (mabalozi). Bado Kuna vyama vya kitume ambavyo kwa namna Moja ama nyingine vinampa taarifa. Mwisho kanisa Katoliki Lina mifumo imara sana kama ya kiserikali hivyo kuwapata watumishi wao ni rahisi sana