@RickyJaduong86@NaomiUliza Then why not take that one step ili hata kwenye makaratasi viondoke watu wasisumbuke kujiandikisha kila baada ya miaka mitano
@_zack255@royalmediatz Kumbukumbu kuombea wazee na watoto walokuwa sebuleni kwao na wakapatwa na majanga. Kuombea walokuwa wanaangalia mpira na yakawakumba majanga
@Bwengojr06@abusumayyah_o Una uhakika hawakutoa? Fuatilia tamko lilitolewa. Kitima alitaja hadi tarehe tamko lilipotolewa wakati anahijiqa sijui na Miladi Ayo. Hata enzi za Magufuli walitoa matamko kibao ni kawaida yao. Alafu wewe unatumia kipimo gani kujua mauaji makubwa kati ya haya mawili?