@BabiliJesuina@Jessy980510@mangekimambi@godbless_lema Wananchi siyo chama cha siasa utasemaje wanatolewa sadaka? Na pia wananchi tarehe 29 walikataa nchi nzima wakauliwa kama kuku maelfu ya watu utasemaje wamemtoa sadaka lisu?
@Jessy980510@mangekimambi@godbless_lema Hiyo miaka mingine ikikuwa n ibiashara wala hakukuwa na kitu serious CHADEMA imeanza kipindi cha Lisu kwahyo ina mwaka mmoja
@kausha_damu@Levieux_socrate@Sativa255 Kwahyo kumbe we lengo ni kutokutekwa? Usipowatukana kwa maana hiyo watakuacha ubwabwaje maana hauwaumizi kivyovyote
@maestrowafact Kwani kinawashinda nn hao wakolon weusi kufanyia kazi yanayolalamikiwa? Kama shida ni mfumo wa uchaguzi waunde mfumo wa huru na haki , wasiteke watu na amani inakuwepo automatic
@PrivatiN@kapeto98 Ni haki kazi ya askari ni kuzuia wasiharibu mali za umma bila kuwapiga , kwamba we ulitaka wawaache2 , shida ya africa watu wakiandamana wanauliwa