Mazee ebu Watanganyika tuamkeni Jamaniii.
Tarehe 29/10/2026 iwee mwisho wa haya.
Kuliko Tufe Kwa Elinino Bora kumwaga Damu na Kulikomboa Taifa Kwa ajili ya Vizazi Vijavyooo.
WATANGANYIKA TUAMKENI JAMANI.
THIS IS TOO MUCH!!!
THIS IS TOO MUCH!!!
THIS IS TOO MUCH!!!
SAMIA MUAJI
TANZANIA 🇹🇿💔😡
KILOSA, MOROGORO, TANZANIA 🇹🇿💔
This is a deeply disturbing report from Kilosa, Morogoro. According to witnesses, a police officer reportedly shot a citizen. They say this man was not a thief or a criminal, but an ordinary citizen.
What is even more painful is that our brother lost his life after suffering terribly. His relatives took him to the hospital, but they say they were told to obtain a PF3 form from the police. According to the family, the police refused to issue the PF3, and the man eventually died.
THIS IS HEARTBREAKING. 💔
Police Tanzanian you are real professional killers.
How many more innocent lives must be lost? How many families must continue to suffer? Stop killing citizens @tanpol
They did the same like what they did last year Mo29 .2025 shot and killl, We demand justice into what happened in Kilosa and accountability if wrongdoing is established.
TANZANIANS DESERVE THE RIGHT TO LIVE. 🇹🇿
WE DEMAND JUSTICE.
WE DEMAND ACCOUNTABILITY.
WE DEMAND HUMAN RIGHTS.
Fellow citizens, let us stand together and demand our rights.
OCT29 - Nov 5 .2026— WE STAND TOGETHER TO DEMAND JUSTICE AND OUR RIGHT TO LIVE.
#JusticeForthemankilledinkilosa# No HumanRights in Tanzania
@hrw@amnestyusa@court_criminal@humanrightstz@UNHumanRights@commonwealthsec
Nafasi hizo za kiserikali zimo ndani ya KATIBA ya Jamhuri. Hazimo kwenye KATIBA ya CCM. Rais anateua watu hao kwa mujibu wa KATIBA ya Jamhuri na yeye mwenyewe kama tungekuwa tunafanya uchaguzi kweli angechaguliwa kwa mujibu wa KATIBA ya Jamhuri.
Tatizo lililopo sasa IGP, CDF na
Ahaaa!! Sasa ndo maana sisi wenye nchi tutawatoa madarakani na hao vyombo dola ili TUWEKE WALE AMBAO WATAKUWA ANSWERED NA SISI WANANCHI
Ni kweli police na hivyo vyombo vya ulinzi ni vya ccm ndo mana HATUWATAKI Kutoka mtatoka tu
Hii ndio thinking ya viongozi wa ccm na ni hatari sana kwa usalama wa Taifa . Hapa ndio unaona umhimu wa madai ya Chadema No reforms no election!
Maneno haya ni hatari kwa usalama wa Taifa! Serikali inaundwa kwa kufuata katiba ya CCM ?
Kina Mchange ni hopeless.....
Kama unamiliki GAZETI la Jamvi la Habari Kwa nini unatumia Tena NGUVU kuelezea hayo si uandike huo upupu wako kwenye GAZETI ? Nutcase.
Jaji Ndungulu upo unayasikia haya?!! Mwachilie Tundu Lissu yeye ni mzalendo wa Taifa ni mpgania haki za watanzania ukiwemo wewe wahaini OG ni hawa hapa wakiongozwa na Samia muuaji anaejiita yeye ni Raisi wa Tanzania
UNGA photo-op vs UNGA reality. Inside: speeches. Outside: Ruto, samia, Museveni and Muhoozi named as the East Africa Abduction Alliance. Funny how the camera always points at the podium, never at the people they left in basements. @UN@commonwealthsec#SamiaMustGo #MuseveniMustGo
Kumamake KUMSIKILIZA BALILE unaweza kumeza Godoro aisee.
LINAKERA KISENGE. Utafikiri haishi bongo Huyu MSENGE.
Eti ishu ya UTEKAJI nchini anatolea mifano ya Mtu aliesemekana katekwa kakutwa kwa MALAYA.
Huyu BALILE NA MAFWELE wanatofauti gani?
Mkuu wa Jeshi la Wananchi akanushe kauli hiyo mapema iwezekanavyo kwani Sisi Wananchi bila kujali itikadi za vyama vyetu tunafahamu na kuamini kuwa JWTZ ni Jeshi la Wananchi na siyo CCM. Akinyamaza kimya katika hili basi "Gudubai JWTZ, Welokam JCTZ"😡😡😡 Tuweni basi serious hata kwa masuala mazito tuache propaganda za kuliharibu Taifa huku tunafahamu madhara yake!!!😡😡😡😡
Jerry Slaa was used and dumped, Innocent Bashungwa was used and dumped, Hussein Bashe was used and dumped. Patrobas Katambi is being used, like others he will be dumped na huyu kwa namna alivyokuwa akaibalagaza veggies kipindi yupo CHADEMA ndo utakuwa mwisho wake kisiasa. TIME.
Chacha ni msema kweli.....
Huyu atakuwa anafahamu alipo hata Makamu wa Raisi,Dkt. John NCHIMBI. Novena ziendelee atatueleza tu siku sio nyingi.
Hili la VYOMBO VYA ULINZI na USALAMA ni Mali ya ccm tunalifahamu muda mrefu sana tulitaka tu kauli ya kuthibitisha Hilo. Ahsante.
Haya MANENO aliyasema LISSU mwaka jana akapewa kesi ya UAHINI mpaka leo yupo gerezani zaidi ya siku 600+
Leo kwasababu ya KIBRI huyu mpumbavu anarudia maneno yale yale na hutaona jambo lolote likitokea kwake.
Lazima tulivushe hili taifa kwenye huu UZWAZWA.
Hizi ndio kauli zinazoleta chuki, uhasama, vurugu na hata kuleta vita za wenyewe kwa wenyewe…..
Siku vijana wakijiamulia mambo tusisikie mtu anawaita magaidi.
Ndiomaana tunasema MASISIEMU ndio yaliuwa watu MO29.
Ndiomaana tunasema MASISIEMU ndio yanateka WATU KILA SIKU.
Ndiomaana tunasema MASISIEMU ndio yanafunga watu Magerezani KILA SIKU.
Haya mawatu ndio chanzo kikuu cha MATATIZO kwenye hii nchi.
Kiburi chao ndiomaana hayawezi kutusukiliza wananchi tukipiga kelele za kutaka KATIBA MPYA.
Yanajua hata tukikataa MARIDHIANO haina shida yao ndio yanamiliki MAJESHI YOTE YATATUENDESHA VILE YANATAKA.
Tukivuka hiki kihunzi cha VIBURI VYA HAWA WAJINGA tutakuwa tumekomboa hii nchi.
Lazima tufikie hatua VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA viwe huru kabisa kwa mujibu wa KATIBA MPYA.
Haya mavyama kujiona yanamiliki MAJESHI ndiomaana yanauwa watu kila siku na yanajua yatalindwa tuu.
Huyu ndiye Khalifa. Mwenyezi Mungu ambariki huyu kijana amenyooka kama rula. Na hivi ndivyo kazi ya uandishi wa habari unapaswa kuwa kama muhimili wa nne wa dola.
Mwanangu @ThatBoyKhalifax jana alianza na gia ya CHINI-BALILE akajua ni familia.
Kilichofuata baada ya hapo ni mazishi. Kama umemiss hii fanya kacheki mwanangu tamu sana.
KHALIFA KAPIGA PIPE VYEMA MNOOO.
CDM ni chama CHA SIASA nyie ni wamiliki MAJESHI yote nchini, kwahiyo usifosi TUFANANE.
CDM Viongozi na wanachama wake KILA SIKU MNAWATEKA na KUWAUWA kwa kutumia MAJESHI yenu kwahiyo usifosi TUFANANE.
CDM inapambania kukomboa NCHI kutoka kwa WAKOLONI WEUSI (NYIE MASISIEMU) usifosi TUFANANE.
Ndiomaana nimesema "WENZAKO CHAUMMA" maana hao ndio uliwapiga kwa Asilimia 99. CDM ILIKUWEPO?
Janja elimu yako ya UDSM mbona imeoza hivi.🚮
Watu wanajua ila kitu walichokuwa hawajui ni kama iko siku mtajitokeza hadharani na kutangaza umiliki wa vyombo hivyo muhimu.
Natamani kuwasikia @jwtztaarifa wakitoa kauli yao.