Mimi naye unajua sitawadanganya. Pesa wakati nikipata,matako nayo lazima italia Mbwata. Wacha hivo mnasema kairo alikua na kiburi. Mimi mwili lazima nirudishie shukrani kwa njia ziwezekanazo. Juu safari haijakua rahisi kusema ukweli,we have suffered. Tumedharaoliwa mara mingi sana. Unasalimia mrembo kwa basi namna hii, unaona ametoa earphones anakuangalia alafu anavaa eaphones.
Yani unajua huyo mtu ata hakuoni kama binadamu,juu hauna pesa
So when a man like me gets money,ata kama sahii sijui nitatoa wapi . Nitabadilika. Nitakua kama Ruto,ule alikua analilia kwa kanisa wakati hakua na pawa,alafu sahii baada ya kupata pawa niyeye anawalilisha na teargas. Mimi nitabadilisha kila kitu,ata warembo. Nianze kutembea warembo mkiangalia namna hii mnajua tu huyu ananipenda juu ya pesa. Juu hakai kunipenda. Mrembo lighskin,alafu saidong maduong akinikalia shingo namna hii naskia kama nimekamatwa na mikora ya kangemi inanipiga ngeta bwana.
December ikifika naitisha wafilipino kama nne. Kuna beste yangu anaitwa Thiong’o ako kule philippines. Aliniambia wafilipino ndio waluya wa asia. Hawananga maneno mingi,bora ameshiba na umemuambia utajengea mama yake 2 bedroom,bas. Anakunyonya mpaka unaskia eruption kule west pokot buana. Aiyaiyaa! Mimi kukosa pesa imenikosea sana aki vanee