In the future, professionalism will include the skill to differentiate between AI-generated images and real ones. People will be hired and paid to teach others how to make that distinction.
@francismtey A: “It’s not about what you, it’s about how you say it.” Naelewa unachojaribu kukufikisha lakini neno moja linaweza kubadilisha ‘content’ ya ulishomaanisha na uka-mislead watu wengi. Nadhani namna nzuri ya kuiweka ni, watu wawe makini na DINI.
B; Dini ni zao la siasa?
PHYSICAL REALITY tunayoiishi...
Moja ya Sifa yake kubwa ni.
ku-Operate in REPETITION LOOP.
ukielewa hii CODE...
Utafungua mambo mengi sana.
Infact: Ukiwahi kuidaka LOOP
Unaweza ukaizima kabla haijafika Mbali.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
@DesmondDiss Msaada hautolewi ili uliyemsaidia aje akusaidie, ikitokea sawa. Unatoa msaada ili uliyemsaidia akawasaidie wengine, kama atakuwa na hiyo nafasi. Kwa kufanya hivyo hutegemei chochote kwa uliyemsaidia. Mzee kutokukumbuka kumekuumiza kwasababu ulikuwa na “expectations” atakusaidia.
if you're certain that you're going to be successful, even if you don't have it now but you know that money will still come in abundance for you.
read this every day until you become wealthy; do not make the mistake of trying to make money if you have not first built discipline. the very thing you're chasing, money, can become the thing that destroys you if you haven't built the discipline to handle it.
the same money you believe will solve all your problems can end up creating even bigger ones for you, bookmark this.
@TriciaAbou Bro to Bro
Kamwe Usitafute pesa kwa ajili ya kupendwa na wanawake. Tafuta pesa kwa ajili ya kujenga maisha yako, kuwasaidia wazazi wako, kulea familia yako kwa heshima, na kuishi kwa uhuru. Mwanamke anayekupenda kwa sababu ya pesa, ataondoka pesa zikiondoka
This is 2026. Sooner or later, whenever person sees a picture, the first question will be “Is it AI or not?” Only After that question, he will start analyzing its content.
N.B.: AI-generated images are now around 90% realistic.