@OleMtetezi Sisi tukichukia jambo tunachukia tu hata sura alioumbiwa na mungu ,kisingi chuki ikiwa moyon inakulazimisha kutafuta dosari angalau ukosoe PhD yake kingereza chake ,sioni kama kuna hoja sana ya kukosoa , Kwa mfano tujifanye wajinga tuamini hana PhD alafu inaongezeka nini ?