Kwa timu ya kiwango cha kushinda kwenye ligi ya mabingwa na shirikisho barani Afrika Greyson Gerrard Gwalala ni kiungo anayefaa kujumuishwa kwenye kikosi.
Hapo unapata matunzo ya mpira kwenye shinikizo na muendelezo wa mpira kwenda kwenye nusu ya mpinzani.
@SimbaSCTanzania wanacheza soka la level ya mid-table team ya NBC Premier League.
Kinachohuzunisha zaidi ni kwamba matatizo ni yaleyale tangu mechi ya Esperance ugenini.
Compactness inakosekana wanapokuwa na wasipokuwa na mpira. Binafsi sitegemei mazuri kwa Simba msimu huu.
@Malengo25 Simba walikuwa Wana counter press vizuri chini ya Fadlu.
Counter pressing ni swala la principles, structure na positioning sahihi zaidi ya sifa za mchezaji mmoja mmoja.
Vitu hivyo vikiwa sawa timu yoyote inafanya pressing vizuri.
@Malengo25 Tangu zamani na mpaka Leo Simba wanapo hangaika na defensive transitions tatizo kuu huwa kukosa clarity. Lazima uchague cha kufanya, counter press au drop off moja kwa moja. Kisha tekeleza kwa ufanisi.
Barker bado anaanza kujenga timu. Tunapaswa kumpa muda.
Upande wapili, bila mpira timu inahitaji muundo sahihi na mgawanyo sahihi wa majukumu ili kucheza vizuri.
Ni lazima uwe na ubora mkubwa bila mpira.
Barker bado anatengeneza anachotaka ndani ya Simba. Siwezi kumlaumu. Lakini kwa stage waliopo, ilikuwa wazi kuna tishio kimataifa.
Game ilikuwa nyepesi zaidi 1st half ambapo Esperance waliamua kulinda zaidi. 2nd half Esperance wakafunguka, game ikawa open, matatizo ya Simba kwenye defensive transitions yakaanza kuonekana.
Barker alipoamua kucheza na Camara kama lone pivot ndipo akiamua game kabisa.
Nilisema tunatakiwa kuwa na wasiwasi kuelekea mechi dhidi ya Esperance na pointing zile zile nilizotoa ndio zilionekana baada ya game kufunguka.
Ni rahisi kocha kukamua uwezo wa wachezaji ili kucheza vizuri wakiwa na mpira, hata bila ya ubora mkubwa.
https://t.co/T1EKx3kadV
@RevocatusMagum1 Kwa performance walioonesha leo hiki unachosema si kweli. Walikuwa slow kwenye final 3rd. Muunganiko bado haujajengeka. Muundo bila mpira bado haujawa clear.
Unatakiwa uwe na wasiwasi kuelekea mechi na Esperance.
@111cacti Binafsi naamini kilichowaponza ni haraka ya kukimbilia kupata kocha mapema ili waanze nae hatua ya makundi. Kwa jinsi experience yake ilivyokuwa na namna alivyoperform akiwa na Nsingizini Simba kwa kawaida naamini wasngemuajiri.
Alitakiwa kocha yeyote competent tu.
Kuleta kocha katikati ya msimu halafu kumpa malengo yale yale uliyoweka mwanzo wa msimu ni kitu ambacho hakina uhalisia. Steve Barker na Simba wote wana makosa kwenye hili.
Muda wa maandalizi ukibadilika malengo yanabadilika. Matokeo yake ndio kocha anataka wachezaji wapya wengi