TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Mimi Ndugu,John Kayombo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji Mwenye Jina la @johnkayombo55 Kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram.Wahuni wamedukua na kunifanya nisiweze kuingia na kutumia Akaunti hiyo, Hivyo Maudhui yanayowekwa juu ya Ukurasa huo SIHUSIKI
Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa za kifo cha msanii maarufu wa Kaole, Chuma Selemani maarufu 'Bi Hindu'. Uweledi wake wa uigizaji na matumizi ya lugha ya Kiswahili yalileta mvuto kwa watazamaji wa Rika zote. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema Peponi. Amin.
Niko na vijana wawili waliopata Division 1 wote toka kwenye shule yetu ya kata Ikwiriri sekondari ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani mmoja ana divion one ya pointi 10 na mwingine pointi 13 na kuchaguliwa kwenda kidato cha tano Msamala Sekondari,wote mtasoma