God is saying to you...
Sometimes you just have to
stay silent & pray because no
words can explain what's
going on... No matter how
much you try to explain,
people still wouldn't be able
to understand, but I know.
Be still, and know that I will make
everything better but for now
Just stay silent and trust me.
🙏🏻😇🙌🏻
#jayakishori #dailymotivation #jayakishorimotivation #god #krishna
#spirituality
Mkumbushe mwanao Tajiri akiumwa maskini hukimbia kwenda kumjulia hali ila maskini akiumwa tajiri husubiri hadi apone ndipo humuuliza alikuwa wapi mbna haonekani hivyo asiwadharau wa level yake...
Sikia sasa, moja ya sifa bora ya laptop ni kukaa na Chaji kwa muda mrefu📌 huu Uzi save katika bookmark zako, unakuelezea laptop zenye sifa ya kukaa na chaji kwa muda mrefu sana bila kuchemka.👇
It’s important to reflect on the past a while to analyze your mistakes..!
But be sure your looking back on past and not living in it...! “adventistlifestyl”SDA
Elewa hili Jambo Moja Muhimu Leo.
Kila siku Fursa za Kiuchumi zinazaliwa Mpya na Bora kuliko za Jana .
Usipokuwa makini unaweza kuwa Mtu wa kuhama hama tu bila uelekeo na bila Mafanikio ya kuonekana .
Jana ulikuwa Kampuni hii ya Network Marketing, Leo inakuja Mpya unarukia, kesho uko kule na keshokutwa nyingine.
Mara umesikia Cryptocurrency, unaachana na mengine , unajitosa,
Hujakaa mkao uaambiwa Forex Trading ni Bonge la Dude , unaacha ulichokuwa nacho, unajiingiza .
Mara unasikia rafiki Yako amebeti na kushinda kitita Cha 'milyoni' 50 Kwa stake ya 1000, unahamia kubeti ghafla .
Sikia nikuambie jambo hapa.
Pamoja na Kiu Yako kubwa ya Kutaka Kufanikiwa ,Ukweli ni Kwamba Mafanikio hayajengwi hivyo.
Kuna Gharama lazima Uilipe ,.
Fanya hivi,
#1.Tafuta eneo Moja Kisha komaa nalo Kwa muda .Kama ni Network Marketing,jipe Muda ujenge Ujuzi na Kubobea huko wakati unajenga Biashara yako . Mafanikio sio tukio ,ni Mchakato, na Mchakato una mambo mengi sana .
#2. Kama wewe Haujajijengea Uwezo ,hata kama utahamia Fursa za Biashara zote Duniani ,hautapata matokeo unayoyataka.
Amua kujifunza ,ukiwa Bora unakuwa na nafasi kubwa ya kupata Matokeo Makubwa kwenye jambo lolote unalochagua kulifanya .
Jifunze Stadi Muhimu Kwenye biashara na maisha ya kwaida .
Nakusalimu
The older you get, the more you like open communication and clear agreements because you're not a mind reader and you got no time for guessing games and misunderstandings...
Ulijifunza nini pale uliposikia kisa cha yule mke aliyekesha akiomba furaha ya ndoa yake, kisha asubuhi akaamka na taarifa ya msiba wa mumewe?
Nini ulijifunza pale ulipomuomba Mungu akuepushe na maadui, kisha ghafla ukaanza kupoteza marafiki zako vipenzi?
Nini ulijifunza pale, alipolaumiwa sana yule aliyeachwa na gari, kisha jioni kutangazwa ajari mbaya ya gari hiyo?
Ulijifunza nini pale muumini wa kanisa alipofunga na kusali apate kizazi chema, kisha akamzaa mtoto mchele, kipa katoka?
Nini ulijifunza pale, aliyebeba tumaini lako, mwenye nia njema na kesho yako alipokufa kabla hajatimiza nusu ya alichokuahidi kuhusu ndoto zako.
Ulijifunza kitu gani, pale ulipomuomba Mungu akupe ujasiri kisha akakuletea upweke wa misiba ya wazazi wako..
Ulijifunza nini pale ulipomwambia Mungu kwa unyenyekevu matamanio ya kutimiza ndoto zako, kisha kesho ukapoteza kazi yako..
Wakati tunamuomba Mungu tuwe tayari na njia za majibu yake..
Si mara zote, dua yako itajibiwa kwa tabasamu na kicheko, zipo zitakazojibiwa kwa kilio, maumivu na hata sononeko la nafsi..
Siku njema ndugu zangu..
Cc @AziziKasese
UFAHAMU UGONJWA ULIOUA WATU WENGI KULIKO CORONA NDANI YA MUDA MFUPI.👇
Ilikuwa ni mwishoni mwa mwaka 1347 katika bandari kubwa ya kibiashara ya Messina iliyokuwepo katika mji wa Sicily huko nchini Italia
Siku hiyo ziliwasili meli kubwa 12 kwa pamoja katika bandari hiyo hivyo watu wengi walijisogeza kwenda kuzipokea.
Baada ya watu kuzisogelea meli hizo,walipigwa na butwaa baada ya kukuta watu waliokua kwenye meli zile wakiwa wamekufa na wengine walikua wagonjwa sana huku wakivuja usaa,damu na kutoa harufu kali katika miili yao.
Baada ya kuona hali halisi viongozi katika mji wa Sicily walitoa agizo kwamba meli zile ziondolewe pale ili wafanye kwanza uchunguzi juu ya ugonjwa huo wa ajabu lakini kimsingi walikuwa washachelewa kwani kuna watu waliokuwepo pale bandarini waliondoka na vimelea vya ugonjwa huo.
Tafiti zinaonesha kwamba ugonjwa huo ulianzia nchini China miaka ya 1340 na ulianza kusambaa ulaya mwaka 1347 na maeneo mengi duniani.
Ugonjwa huu wa ajabu uliua jumla ya watu milioni mia mbili hamsini duniani kote kwa kipindi chote cha miaka mitano ulipokuwepo (1347-1352) na ni moja ya vifo vingi kuwahi kutokea tangu dunia kuubwa
Kutokana na uhaba wa wataalamu na kiwango kidogo cha sayansi na teknolojia watu wengi hawakujua chanzo cha ugonjwa huo hatari ulioua watu wengi zaidi duniani.
Kwa kasi ya kuua iliyokuwa nao huo ugonjwa watu wengi walikata tamaa ya maisha kwani ilifikia kipindi mtu analala akiwa mzima kabisa ila asubuhi anakutwa akiwa amefariki na mwili wake ukiwa mweusi tii.
Ilifikia kipindi madaktari waligoma kuwatibia wagonjwa,viongozi wengi wa dini waligoma kuzika na kuombea marehemu,shughuli na biashara nyingi zilizisimama na ni katika kipindi hiki asili ya Quarantine(karantini) ilipoanza.
Naam,ni ugonjwa uliojulikana kwa jina la BLACK DEATH (Plague).Uliambukizwa na viroboto na wao walikuwa wanautoa kutoka kwa panywa kwenda kwa binadamu.Uliitwa black death kwa sababu mtu akishafiriki kutokana na ugonjwa huo mwili wake hubadilika na kuwa mweusi tii.
Ugonjwa huu ulisababishwa na bakteria anayeitwa Yersinia Pestis.Kiroboto akishakung'ata anakuachia bakteria huyu na ulisambaa kwa njia ya kumgusa mgonjwa na kuvuta hewa yenye vimelea.
Ugonjwa huu ulienda wapi?
....follow @ChandoMaterials
Kama unaitaji laptop nzuri kwa bei nafuu🙏
Tuendelee...👇
Ugonjwa huu uliua watu wengi sana kati ya kipindi cha mwaka 1347 hadi 1352.Baada ya hapo serikali za nchi nyingi ziliwaelimisha wananchi wake namna ya kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa huu ikiwepo kufanya usafi wa mazingira yao na kuepuka mikusanyiko kwani ilikuwa ni lazima maisha yaendelee.
Lakini mwaka 1928 mwanasayansi aliyefahamika kwa ajina la Alexander Fleming alivundua dawa ya ugonjwa huu na ndipo ulipoanza kutibika moja kwa moja.
Tafiti za kisayansi zinasema kwamba mpaka leo ugonjwa huu bado upo kwa kiasi kidogo sana hata shirika la Marekani la magonjwa ya kuambukiza linaamini kila mwaka wagonjwa 600 hupatikana duniani kote lakini hatari ya kifo ni ndogo sana.
Tutegemee nini siku za usoni?
Kuna hatari kubwa sana ya magonjwa mengi ya ajabu kuja siku za usoni sababu dawa nyingi tunazotegemea zimeanza kufeli sababu ya bacteria kuanza kubadilika na matumizi mabaya ya dawa hizo lakini pia virusi ambavyo mara nyingi havina dawa vimeanza kuishambulia dunia kwa kasi sana,ukiachana virusi vya ukimwi ambao mpaka sasa umeua watu Zaidi ya milioni 40,virusi vya ebola,virusi vya corona bado kuna zaidi ya virusi milioni moja ambavyo viko kimya na kati ya hivyo watafiti wameweza kutambua kama virusi elfu moja tu.
Wakati huo huo baadhi ya nchi zinatumia virusi hivi kama silaha kwa kuvigeuza na kuvifanya vikali Zaidi huko maabara.Hii ni hatari kweli kweli.
Wasalaam
#Tuendelee_kujifunza
Mwisho: Kama unaitaji nikuunge kwenye group la ELIMIKA Whatsapp basi nitumie ujumbe "ADD" ntakua add free kabisa...👇
https://t.co/834VkDb55p
Muwe na siku Njema, please repost...💪🙏
Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina nne za Akili (Intelligence):
1) Intelligent Quotient (IQ)
2) Emotional Quotient (EQ)
3) Social Quotient (SQ)
4) Adversity Quotient (AQ)
.
*1. Intelligence Quotient (IQ):*
.
Hiki ndicho kipimo cha kiwango chako cha ufahamu.
.
Unahitaji IQ kutatua hesabu, kukariri vitu, na kukumbuka masomo.
.
.
*2. Emotional Quotient (EQ):*
.
Hiki ni kipimo cha uwezo wako wa kudumisha amani na wengine, kutunza ahadi, kuwajibika, kuwa mwaminifu, kuheshimu mipaka, kuwa mnyenyekevu, mkweli na mwenye kujali.
.
.
*3. Social Quotient (SQ):*
.
Hiki ni kipimo cha uwezo wako wa kujenga mtandao wa marafiki na kuudumisha kwa muda mrefu.
.
Watu ambao wana EQ ya juu na SQ huwa wanaenda mbali zaidi maishani kuliko wale walio na IQ ya juu lakini EQ ya chini na SQ.
.
Mifumo ya shuleni zaidi viwango vya IQ huku EQ na SQ zikipewa nafasi ndogo sana.
.
.
*4. Adversity Quotient (AQ):*
.
Hiki ni kipimo cha uwezo wako wa kustahimili matatizo na changamoto, na kutoka katikati ya changamoto hizo bila kupotea (Kupotea = Kukimbia shida hzo au kupoteza akili au mwelekeo na pengine hata kuamua kutoa uhai.)
.
Matatizo yanayokabili watu napokabiliwa, kiwango cha AQ ndio huamua ni nani atakayeacha, ni nani atakayeiacha familia yake, na nani atafikiria kujiua au ni nani atakaye pambana kutatua matatizo hayo.
.
.
(Reposted From Fosa Academy (A Nigerian Man))
.
Imetafsiriwa Na Wako Katika Ujenzi Wa Fikra, Jeremiah Kisinza Kutoka Katika Lugha ya kiswahili.
.
.
Uwe na Mchana Mwema
.
Cc @JeremiahKisinza
In the pursuit of success, remember that true wealth lies not in material possessions, but in the richness of experiences and meaningful connections we cultivate along the way.
Nunua Bluetick $8 comment kwenye page za wazungu zenye high engagements utapata 5M impression ndani ya mwezi tu haijarishi unafollowers kiasi gani hata ukiwa nao 500 tu. Then ka Apply maokoto ya Elon watakukubalia📌
Ukiitaji serious utengeneze hela za Elon basi fikiria sana content utakazo zi delivery kwa lugha ya kingereza📌
Alafu target watu wa mataifa ya nje kama USA, UK, Nigeria na n.k( Ni situation ngumu ila ukifanikiwa kufanya ivyo utaona matokeo )📌
Ukifanikiwa kufanya ivyo utaziokota hela za Elon📌
Ni kazi ngumu sana sio Nyepesi maana muda wako wote inabidi uelekezee kwa ELON maana kupitia wewe unafanya mtandao wake uchangamke na yeye atakua anaetengeneza hela nyingi sana kupitia wewe📌
Mwisho usije niuliza kaka utakua unapata maokoto ya Elon kinoma😅 mimi sijawahi ambulia ata sent yake📌
Ni kazi ngumu kama kazi zingine mimi niwe mkweli nimeshindwa kwaio sipati ayo maokoto ila wewe ukizingatia vigezo na masharti naamini utapata💪🙏
Kama una jambo lolote la kuongezea unaweza kucomment 👇
Mwisho #Repost na follow @ChandoMaterials kwa mahitaji ya laptop nzuri zenye ubora wa hali ya Juu💪
System Launching (1/6) 💻
Meet Hunem, a revolutionary project where AI meets NFTs.
From AI-powered divination to personalized art generation, the Hunem Pass will grant users access to AI-powered utilities.
Don't let curiosity kill the cat, till next time, Realmwalker.
Decide every fare and save on rides around your city! Download inDrive now! �Decide every fare and save on rides around your city! Download inDrive now! �Decide every fare and save on rides around your city! Download inDrive now! 🤩
Huduma bomba za Benki ya Absa sasa zimesogea karibu yako zaidi. Furahia usalama, uaminifu, na urahisi wa kubenki kupitia wakala wa benki ya Absa aliye karibu yako.
Wateja wetu wa @ChandoMaterials kwa Instagram tunapatikana kwenye page hii inavyokwenda kwa jina la "CHANDO LAPTOP" nendeni mkatufollow pia mnaweza pata update mbalimbali za laptop kule.
Karibu sana kwa changamoto yoyote ya laptop tupigie/Whatsapp us 0762-305-991☎️