The internet is not a privilege—it’s a lifeline. Let’s work together to ensure it remains open, accessible, and free for all. Actions:
✔️ Speak out against shutdowns in your community
✔️ Demand transparency and accountability from policymakers
#DigitalRightstz @APC_News
Wakati Huu Wa Kampeni Za Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa , Vitongoji , Na Uchaguzi Kwa Ujumla Jamii Inahitaji Mtandao Ilikufahamu Mambo Mbali mbali Kuhusu Uchaguzi.#Digitalrightstz#BeOnline#KeepIton@ZainaFoundation
Mtumiaji Mwenzangu Wa Mtandao Unafahamu Kuhusu Ulinzi Wa Taarifa Zako Binafsi? Na Je Unazilinda Vipi Zisitoke Kutoka Sehemu Moja Kwenda Nyingine? Karibu Utuambie. #Digitalrightstz#KeekItOn#Beonline@ZainaFoundation
Kukosekana Kwa Mtandao Kunaleta Hasara Kubwa Kwa Jamii Sababu Asilimia Kubwa Tunatumia Mtandao Kama Sehemu Ya Kufanya Biashara, Kupata Habari Na Shughuli Mbalimbali Za Kijamii Ikiwemo Huduma Za Hospital n.k #Digitalrightstz#BeOnline#KeepIton
Kupata Taarifa Mbalimbali Kupitia Mtandao Ni Jambo Muhimu Sana Dunia Ni Kijiji Tunahitaji Mtandao Kujifunza Na Kushare Maarifa Yetu Na Jamii Ya Watu Tofautitofauti. #Digitalrightstz#BeOnline#KeepIton@ZainaFoundation
Internet shutdown can lead to misinformation that may cause misunderstanding among people who depend on internet to get information.
#DigitalRightstz#keepiton#Beonline
Internet shutdown can cause people to worry and not know what is going on in the world but also fail to work because the internet is not available. #keepiton#DigitalRightstz
Due to recent events and the need for public safety, X/Twitter was temporarily restricted for major mobile broadband users last month.
This has raised concerns about our commitment to internet freedom. While the restriction aims to prevent misinformation and keep the peace, it’s important to also protect internet freedom and the right to information.
We support finding a balance that respects these rights while addressing security issues. #KeepItOn #DigitalRightsTz @ZainaFoundation@accessnow
An internet shutdown is not just an inconvenience; it's a violation of human rights. It disrupts economies, hampers emergency services, and isolates communities. The impact is most felt by marginalized groups, whose voices are often silenced first.#KeepItOn#DigitalRightstz
Internet ndio msingi mkuu wa mawasiliano,si biashara ni lazima uwe na mtandao,si maofisini lazima uwe na mtandao hata familia tunahitaji internet hivyo maisha yetu yanatuhitaji sana kuwa na mtandao tupate elimu juu ya mtandao na ZAINA FOUNDATION.