Leo ni siku ya 10 tangu atekwe ndugu yangu TWAHA MWAIPAYA nchini Kenya.
Moja ya wapambanaji ambao hawakuwahi kuchoka kulipambania hili taifa.
Tusiache kusema kwa pamoja #FreeTwahaMwaipaya
HAKUNA NJIA YA MKATO (THERE IS NO SHORTCUT)
UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITAKAVYOLIPONYA TAIFA LETU.
JIEPUSHENI NA MADALALI WA GIZA.
Yeyote anayehubiri maridhiano bila kuweka mbele ukweli, haki na uwajibikaji, aidha ni muuaji au wakala wa wauaji. Msimamo wa aina hiyo lazima ukataliwe hadharani!
TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATHS TO HEALING OUR NATION.
BEWARE OF BROKERS OF DARKNESS. Anyone advocating reconciliation without first establishing truth, justice and accountability is either a perpetrator of killings or an agent of the perpetrators. Such a position must be publicly rejected!
BAK MWABUKUSI
Tundu Lissu was charged with (politically motivated) Treason after calling for electoral reform.
The sentence for Treason in Tanzania is nothing else other than DEATH.
The world is waiting for November 06
Thanks Hon Pam Cox for raising this matter in the House Of Commons
Hii ilikuwa Oktoba 29, 2025 mida ya mchana maeneo ya Kimara/ Gaza
Watanzania walijitokeza kwa wingi kuipigania nchi yao hawakuwa na silaha yoyote mkononi kama ambavyo mnawaona.
Nduli Idd Amin Mama na vibaraka wake waliamua kuwamiminia risasi za moto, walipiga risasi kila mtu ambae walimkuta barabarani wakaona haitoshi walifuata watu hadi majumbani kwao wakawaua kwa risasi.
Hakika ilikuwa siku ngumu sana kwetu Watanganyika 😭 kamwe hatutasahau ukatili ambao Nduli alitutendea hii siku, tulinawa machozi, tulioga damu mwisho tukazika picha kwasababu Nduli aliiba maelefu ya miili ya wapendwa wetu akaenda kuizika kama mizoga kwenye makaburi ya halaiki.
Mungu aendelee kuwapa pumziko la milele wapendwa wetu wote ambao tuliwapoteza katika siku hii.🙏💔😭
We appreciate the UK Government reiterating that the UN Working Group on Arbitrary Detention ruled in favour of our application, finding that @TunduALissu had been detained arbitrarily -- but now is the time for action. The Government should push for Tanzania’s suspension from the Commonwealth, as well as targeted sanctions!
Watanzania tuna kila sababu ya kupambana ili kukomesha huu uongozi haramu uliotuua, kisha ukaiba uchaguzi siku ya October 29, 2025...
#FreeTwahaMwaipaya
Leo usiku tunaanza maombi na kumbukumbu tukijiandaa kesho kukutana katika misa ya Oktoba 29 - tuombe, tupate baraka kabla ya kuanza kudai HAKI, Ukweli na Uwajibikaji
Washa mshumaa kama sehemu ya kuweka kumbukumbu
Piga picha yako na mshumaa, Ukiwa umevaa nguo nyeusi - nyumbani, kanisani, njiani - popote ulipo
Tuna Msiba usioisha hadi tupate miili tuzike! Hadi tuwajibishe walioua
#Mo29 #Hatutasahau #TanzaniaMassacre
#WeShallNeverForget #NoJusticeNoPeace
#TukutaneParokiani
Missing Tanzanian government critic:
Vocal Africa in court demanding Tanzanian government critic's production
Twaha Mwaipaya was allegedly abducted in Kamulu
Lobby groups allege Twaha was abducted in Kamulu area
#CitizenBriefs