Real Madrid next match is against in-form Man City.
Haaland will be there.
Rodri is back.
Doku will meet Trent.
What a time to be alive!๐๐๐๐๐๐๐ซต๐พ
Being broke as a man is very degrading and frustrating. To every man who's putting in the work to change his financial status for the better, I hope you win soon bro.
@Millambo_ Wanasahau kua feedback is a breakfast for champions. iwe positive or negative ukiweza kuzifanyia kazi 80% tu basi utakua na uhakika wa customer retention na kupata more referrals from existing customers
98% ya wafanyabiashara wanapoteza muda kwenye:
- Business plan
- Utafiti
- Content
- Ofisi kali
- Website kali
- Logo kali
Wanasahau kuwa biashara ni:
- Kipigia simu wateja
- Kurun matangazo
- Kutuma meseji na emails
- Kufanya follow ups
- Ku-close deals
- Kufanya delivery za huduma
- Kusaidia wateja kupata matokeo
Sio kila unachofanya kazini kina tija kwa biashara.
Mara nyingi unakuwa productively distracted bila kujua.
JITATHIMINI.
#WEWENIMGODI
Bro kama unafanya kazi na unapokea Take home kuanzia 500k hadi 1M, nipe muda wako nikupe wazo la kibiashara linaloweza kukuinua kiuchumi kwa muda mfupi.
Usitazame kiasi kidogo cha mtaji nilichokutajia ukaanza kubeza, wewe nipe muda wako kwa kusoma hapa hutatoka bure.