Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally akiongea na Wanasimba ambao wamefika hapa kwenye Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichopo Mbezi Mwisho, Dar es Salaam. #NguvuMoja
@azamtvtz Jaman bado Arusha kisimbuzi cha antena kinasumbua ni mechi nyingine baadhi ya wakazi wa Arusha tutaikoza mm natumia kisimbuzi cha Antena tena cha nje kilometa 8 kutoka mlikofunga mnara lakin ni wiki sasa bado kisimbuzi kinascrach