@mangekimambi@SuluhuSamia@realDonaldTrump Huu ni ushabiki maandaz kabisa yan na nimeanza kuona kuna namna nyie tunaowaona wanaharakati mko kazin na mnalipwa kwa kueneza propaganda na unazi wa marekan
@BongoleDennis@yaseen1096@lifeofmshaba Mbna mnataka uwaz uku taarifa zenu mnaficha huoni kuwa sababu yako haina mashiko. Hoja ya ela za mama umeijibu ovyoooo
@IAMartin_@mangekimambi Ata mbowe alikuwa anajibu kwa namna hii lakin pia kiu ya wengi ilikuwa nikuona wassuport mabadiliko na ukomo wa uongozi na inatafsiriwaa uko kinyume na ivo