@mjamaikaJr Wewe ni mjamaika kweli au unalipenda hilo Taifa, kama jibu ni ndio kuwa wewe ni mjamaika sawa, vinginevyo kama ni mkurya mwenzangu basi Elimu uliyopata haijakusaidi ๐๐
@eastafricatv Kamanda kathihitisha kushikiliwa kwa mtuhumiwa ila kwenye tarehe ya kukamatwa mtuhumiwa mnasema " amedai" yaani hamuamini hiyo kauli yake? ๐ ๐
@Octavianlasway Wewe acha uchawa wako. Wanasema wamesomesha vija 250 kwa utaratibu upi? Walichaguliwaje? Wale wasomi wanaolima BBT wamewapataje? Je vijana waliomaliza shule waliovijjjini maeneo mbalimbali Nchini Wana taarifa juu ya BBT?????? UPENDELEO TUUUU