@IsmailEmma9452@TzFootballers@CarlosFlood_ Hakika,kitu kinachoumiza watu wanajitahidi kuwashawishi hawa vijana warudi kuichezea Nchi yetu ila watu wa Mamlaka ya Soka wanawakaushia yu.Hivi Miaka yote hii tunakos kupata kijana wa U20 huko Europe ambae ana uwezo mzuri wa kufunga?!