Fainali ya Ligi mabingwa Ulaya itachezwa saa 12:00 jioni kwa majira ya Budapest Hungary. Tena mwezi huu huko Hungary jua linazama saa 2:30 usiku, kwa mantiki hiyo fainali ya leo kati ya PSG vs Arsenal itachezwa wakati jua bado linawaka, labda tu kuwepo na mawingu ya mvua.
@Legend_Mtikila Kama unashangaa hii vipi Kuhusu TANZANIA haina dini ila watuwake wanadini kama haitoshi serikali haiamini uchawi ila watu wake niwachawi hii imekaaje
Nb:raisi anavaa ushungi na tunaambia serikali haina dini alafu yy ndo serikali
@iamFallacy Dogo hana ndungu eti mm hao wataokota mwili wa mtu pembeni ya barabara daaah yaan nimejisikia vibaya sana si ajabu na huyu binti walienda kumpelekea moto kwa lazima Daah ๐ฅถ๐ฅถ๐ฅถ