Tuwakatalie watoto vitu wanavyotamani wanavyotaka na saa nyingine wacheleshee wanavyohitaji.
Tuwafundishe kunyimwa kutowezekana na kusubiri. Tabia, mazoea na desturi huumbwa . @ Mtwara Sokoni https://t.co/i3s3raAtQO
@SikilizaTogolan@tonytogolani Ahsante sana Kwa ukumbusho huu, rizki inatoka Kwa mola mlezi lakini kupitia Kwa watu wanaotuzunguka ikiwemo familia tuishi na watu vizuri.