— Nikiwa naleta zile makala za kijasusi, kuna watu huwa wananishukuru sana nikizitaja MOVIES zinazogusa mikasa husika.
— Sasa leo nimeona niwalete orodha ya movies kali 20 ambazo zinahusu CIA tu. Huwezi kujuta kuzitazama.
— Nitataja jina la movie, na mwaka.
— Utakachonisaidia wewe ni kuREPOST ili usinufaike peke yako. Na wengine pia wapate vya kwenda kuangalia.
Twen'zetu...👇🏽
Dear wafalme,
Hakuna mwanamke mzuri/mrembo
Uzuri wake ni UONGO uliojiumbia mwenyewe
Hakuna mwanamke anayejihisi ni mzuri.
Ni sifa za mara kwa mara wanazopewa na soyboys zinawajaza vichwa na kuwapa kiburi.
Bila hivyo, ni waoga sana na hawajiamini.
Hii wanawake hawataki ujue.
Mtu yupo Tandahimba anabonyeza kioo kilichopo mkononi mwake anaongea na mtu wa New York, anaona watu wanapandikiza viungo na wanaishi, watu wanatumia maji kuzalisha umeme unaowasha mitambo na kuendesha magari, halafu bado anabisha kusikia watu wanauzunguka Mwezi. Hii nchi daah 🙌
“Jeshi la Iran wekeni silaha chini tuwape kinga au mkubali kifo cha lazima. Watu wa Iran saa ya Uhuru wenu ipo mikononi, kaeni ndani mjikinge kwani nje ni hatari, mabomu yatakuwa yanadondoka kila mahala. Tukimaliza kuiondoa Serikali iliyopo, itakuwa ni zamu yenu kutawala” Trump
Dear wafalme,
Kuna kiwango cha utajiri kufika lazima uwe;
-Shoga
-Unabaka watoto
-Una agano shetani
-Unauza madawa ya kulevya
-Unauza viungo vya binadamu
Furahia ulichobarikiwa, chunga tamaa mbaya.
Pesa wanazo lakini hawana furaha.