@EngMapundajr Nchi ngumu Sana hii nilazima tuipindue meza haraka Sanaโ๏ธhivi bodaboda nayo Kaz? Na kunamedia inasema Inatafta habar๐ฎ๐ฎ๐ฎ sio elimu za uchumi wa kuzalisha NI kuita kikundi Cha ikulu kuongea usenge huu?mda umefika kazi KWETU
Imagine being us..!!
Hapo hakuna kusombelea watu kwenye maroli kama ng'ombe za mnadani.
Hawa ni wapenda HAKI walioamua kushiriki mkutano wa wapigania HAKI (IBADA).
Na baada ya IBADA takatifu ya HAKI, wameshiriki kutoa SADAKA (TONE TONE).
IGA UFE.
REPOST 200.
Mamaeee HECHEE kajua kuhutubia mkoa wangu. Naangalia mpaka machozi yanatoka.
HII NDIO MBEYA MAMAE.
WATU WAPO TAYARI KWA MAANDAMANO.
WATU WANATAKA LISSU ATOLEWE HARAKA SANA #FreeTunduLissu
โผ๏ธ๐จHALI MBAYA SANA NI MWENDO WA KUWINDANA๐จโผ๏ธ
Oktoba 2025 imeacha makovu hadi ndani ya mfumo wa ulinzi na usalama! Maumivu ni makali sana!
Kuna incident baadhi yetu tulisikia ilitokea ila leo ndo kuna details zaidi! Kuna mtu alitaka kupata revenge ya ndugu yake! Sasa najiuliza unaishi kama digidigii huku unajiita Rais wa kujipachika! Hujui anayekuchekea ana nini moyoni! Hii dhambi ya kumwaga damu ni mbaya sana! Na huwa mwisho wa mtu aliyemwaga damu si nzuri!
Hata upange upangue vipi! Hatma yako imeshaandikwa - tukumbuke kisa cha Indira Gandhi na alivyouwawa!
Ushauri mzuri ni kuondoka na si kusubiri kufukuzwa
#SamiaMustGo #TutaelewanaTu
@DangaAyubu79425@chapanombombwi Uzur ulaya sio Kama hukobkijijin kwenu kwenye mafunza! Okoa family yako usipende kukaa mjini kuolewa kwa machawa huku ndg zako wakititia kwenye umaskin pro! Wananchi wameamua mwelekeo wao utafagiwa TU mzee Wala sio kupasua mishipa ya shingo hapaโ๏ธ