Kuna wakati mtu mwenye moyo wa huruma anaweza kuwa anakunywa pombe, anavuta sigara (wengine hata bangi), anatukana na mkorofi ukimzingua. Ila mtu mwenye roho mbaya, chuki, husuda, majungu na mbinafsi utamkuta kanisani/msikitini na amekaa kwa unyenyekevu na sura ya upole