Nyimbo za dini zikipigwa bar usiku na kuona walevi walivyo na Vibe na nyimbo wanazijua vizuri inakupa tafsiri kwamba walevi sio watu wabaya hata kidogo na wanamjua Mungu sana!!

@MasterOfPainII@chapanombombwi Unahubiri nini ikiwa amani na haki si wajibu wako kuvipgania? Unataka ukusanye usichokitawanya!?
Mahatma once said, "If you think religion and politics aren't connected,you don't understand either"