Shukrani za dhati kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa chama chetu, chama kinachobeba mustakabali wa Taifa letu na imani ya Watanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kuniteua kuwa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu, 2025.
Sauti yenu na uamuzi wenu ni sauti na uamuzi wa mamilioni ya Watanzania wanaofurahia matunda ya kazi nzuri inayofanywa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ahadi yangu ni kuendelea na kazi njema ya kuitumikia nchi yetu na Watanzania wote kwa nguvu zote, akili na maarifa yangu yote, wakati wote.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa waja wake na Taifa letu aendelee kutusimamia, kutuongoza na kutufanikisha. In'Sha'Allah.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
We are marking the #WorldMalariaDay🚫🦟commemorations in just 8 days ‼️
Joining us @LWilbrord , Member of @malariacorpstz , to end malaria is very one's business a long standing disease yet deadly and can be treated for a more equitable world.
#Tabora#Tanzania@wizara_afyatz
Hi there,
You are invited to a Zoom meeting.
When: Feb 29, 2024 05:30 PM Nairobi
Register in advance for this meeting:
https://t.co/xN9mCKyXhp
After registering, you will receive a confirmation email containing information about joining the meeting.
Hi there,
You are invited to a Zoom meeting.
When: Feb 29, 2024 05:30 PM Nairobi
Register in advance for this meeting:
https://t.co/xN9mCKyXhp
After registering, you will receive a confirmation email containing information about joining the meeting.
Well said Aloyce, bado watu wanapata shida kwasababu ya financial status,
Lkn pia huyo anaweza kushauriwa kukata Bima ya CHF iliyoboreshwa. Ni affordable na inatumia hospitali zote za serikali.
Zaidi ya hapo CHF iliyoboreshwa inacover more than 3 family members , Ada ni 30,000
Kwa mtazamo wangu!
Naona hapa shida yake sio uelewa, bali ni uwezo wa kulipa “gharama”. Amekuwa wazi kabisa.
Personally niliwahi kumuuguza mama yangu miaka michache iliyopita kwa kuungaunga sana . Sikua na kipato chochote na ni 1st born!
Ilibidi niongee na madaktari ‘kiume’ kweli kama alivosema hapo na walichokifanya kunisaidia walikubali nimlete nje ya muda wa hospital wakawa wanamuona na kumhudumia outside hospital maana sikua na namna ya kulipa. Ni story ndefu, ila nilipata msaada mkubwa sana!
Anyway, najua wanaohitaji msaada ni wengi sana ila kama unaweza kumpa msaada mama ake akapata angalao basic help hata kwa yeye kuchangia gharama nyingine kama vipimo na dawa baada ya observation ya Dr.
And for that case mshauri in the long run ajipige alipe bima ya afya kwa mwaka ni 240k itasaidia kwa mengi.
🤔
Today is the dedicated Health Day at #COP28UAE and the #RLMForum will gather stakeholders to celebrate progress & new commitments made to #BeatNTDs.
Watch @CombatNTDs video on Climate Change-NTDs and add your voice to the call to end these health crises: https://t.co/0055vmEbKU
🌐 Breaking news @COP28_UAE: Funders of the @RLMglobalhealth have pledged $777 million for neglected tropical diseases.
This commitment will help strengthen worldwide health systems & build resilience to make the world a safer place for all, inc communities affected by malaria.
This week we were invited to participate as a panelist and provide insight at the High Level Meeting for Financing Gender Equality in DSM. The event was hosted by the Government of #Tz with @UN_Women and @IMFAfrica and was officiated by the President of Zanzibar
@theGFF@pai_org
Dear Hiring Managers,
Pls don't invite job seekers 4 interviews if you have already planned to give jobs to your relatives/friends/existing employees.
Some people borrow stuff to attend these interviews.
Don't call them if you will not give them a FAIR CHANCE!
#EMPATHY🌺