@s3kiete Tatizo mmezidi kuchepuka so hapa ni mawili mchepuko anaweza kuwa ndo mcheza madawa au Mke asiye Imani na Mola na kujua kile kiapo chake kina nguvu ya kumsaidia Mume...acheni kudanga wengine mnakana hadi watoto kwa wine za miguu 😂😂😂😂😂😂
#Mungu awasaidie wanaume
Nalia na roho yangu nalia na kesho ya wanangu kama Mama inaniumiza!!
Nikiwaza Mtu hajali chochote wala furaha ya mama ili watoto wafurahi!!
Sala zenu nijifungue salama manake ni kama mtu a natamani nipate miscarriage!!!
#MyhappydayRuined