Hivi Tanzania ni mwanasiasa gani kijana kwasasa anaweza kuhutubia kama wale wanasiasa vijana wanaonolewa pale Afrika Kusini ukasema huyu kweli ana uwezo, akakushawishi, ukauhisi uzalendo wa Taifa lako na Afrika.
Nasubiria majibu yenu wakuu.
Nikamwambia hapa mitungi Buruda,
Washa hata kitu Buruda,
Kama sio case,
Kama uko fresh,
Hapa hata mikasi Buruda.
Hii mistari naielewa sana kwenye ngoma ya "Robot Jaiva according to Chid Benz"😂 vipi wewe mistari gani unaikubali kwenye hii ngoma.
Tunasherehekea ushujaa wa Taifa letu.
Ushujaa wa kila mzalendo aliyeweka maarifa na nguvu yake kuhakikisha tunatoka mikononi mwa utawala wakikoloni.
Miaka 62 ya uhuru.
Happy Independence Day🇹🇿
Mwenye sifa na vigezo hana wakumuunganishia, ambaye hana sifa na vigezo ana waunganishaji kibao.
Kula chuma hicho, kitimbwi kwa mwajiri.
#AMEANDIKAPEASANT
PICHA NA MATUKIO.
Wenyeviti UVCCM wilaya 11 kanda ya ziwa wakikabidhi mashine ya kufyatua tofari yenye thamani Tsh. Mil. 9 kama mradi wa uchumi UVCCM Kahama katika kuadhimisha miaka 2 ya Rais Samia Hassan Suluhu.
vijana wenzangu..
"Tunaonyesha furaha halafu tunakufa kwa kuficha maumivu"
Kuna kitu hakipo sawa hapa, ukikaa ukatafakari utanielewa.
#PowerInPeasant#PeasantLove❤
In modern life, betrayal and social rejection hurt. The desire to repair that pain and improve our mood may be one of the things that motivates us to seek revenge, according to six studies published this year in the Journal of Personality and Social Psychology.
#AmeandikaPeasant
shida zinaweza kukufanya ukaishi maisha usiyoyapenda ila unayahitaji.
#peasantkazini
MTOTO WA MASKINI HANA MAJIVUNO.
@MtaturuSalumu @RubenDuwe @Dagius_
Usisahau hata waliokubaliwa leo, walikataliwa jana kwa maneno na vitendo vya fedheha, kejeli na kukatishwa tamaa, PAMBANA fungu lako lipo.
MTOTO WA MASKINI HANA MAJIVUNO.
#peasantkazini