MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt.Samia ipo mbioni kuanza ujenzi wa reli ya Jiji la Dar es Salaam (Commuter Rail Network).
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Bw. Kadogosa.
Zoezi la Utoaji Bima za Afya kwa Wananchi 9000 Kutoka Jiji la Mbeya, Mkurugenzi wa Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini
#TuliaAfyaKwanza#TuliaTrustAfyaKwanza#Tulia
@doreen_don2018 Happy working day dear friends, Natumaini wengi wetu tunaendelea kufanya kazi ya ujenzi wa taifa na familia zetu.
1. Jana nikiwa safarini nilipata wasaa wa kumtafakari mwandishi Robert Greener katika kitabu chake cha THE ART OF SEDUCTION ( SANAA YA KUTONGOZA).
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema zaidi ya Waraibu 500 kuajiliwa mara wanapomaliza matibabu yao ili kujipatia kipato cha kuendesha maisha yao Dr_Mollel
MAMA NI MAMA Hakuna kama yeye #repost@dr_mollel Watanzania wanamjua Rais Dr Samia ni Lulu na ni tunu kwao. Matusi yako kejeli zako kamwe hazitawasahaulisha watanzania makubwa haya.
Dr samia ametuwezesha leo hii Tanzania kushusha vifo vya kinamama toka vifo 556 hadi vifo 104.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake barani Afrika (AWCCSP) Jumamosi, Desemba 2, 2023 Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
TZ NA INDIA SASA NI WASHIRIKA WA KIMKAKATI>>India na Tz zimebadili uhusiano wao kutoka wa kawaidana kuwa wa mkakati.
Hatua hiyo imefikiwa kufuatia ziara ya Kitaifa ya Rais Samia inayoendelea India ambapo leo imetangazwa rasmi kwenye mkutano na WaziriMkuu wa India, Narendra Modi
ZIARA YA WAZIRI MAKAMBA BWAWA LA NYERERE
Ujazo wa maji umefika mita za ujazo BILIONI 6.
> Kina cha maji kimebakiza urefu wa MITA 13 tu, kufikia kiwango cha kuzungusha mitambo ya kufua umeme.
> Kazi ya kuunganisha mitambo ya kufua umeme inaendelea.
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, anawasili leo Tanzania kuanza ziara ya kihistoria ya siku tatu (Machi 29-31, 2023).
Ujio wa kiongozi huyo mkubwa wa Marekani nchini ni ishara ya mafanikio makubwa ya mageuzi ya diplomasia ya uchumi na ushirikiano wa kimataifa