@moodewji Mungu pia analaani sana wale ambao wako vuguvugu. Yaani hawaeleweki wako upande upi. Jifikirie na wewe kama timu huitaki kaa pembeni uache unafki
@goligani Jodari anawahi kuchosha. Umpike pilau au biriani yuko moto.
Changu unaweza kumla wiki nzima. kwa chips byee. Umkaange kwa ugali na kachumbari balaa. Umpikie nazi na wali na ndizi mbivu ndio unyama zaid. Umfanye supu ukala na muhogo wa nazi moto. Aah mie nawapenda wote.
@tanpol Kulikuwa na ulazima wa kurusha mabomu mbele ya mkusanyiko wa watu? Kwanini msingesubiri raia watawanyike baada ya mkutano kuisha na mumfate alipofikia.
@HildaNewton21 Inapaswa pia mtuambie kama chama mmejiandaaje na malengo mbadala, endapo uchaguzi utafanyika na vyama vyengine vya upinzani vikashiriki. Mtakuwa na plan gani ya miaka mitano ijayo ya kuendesha chama?
@ItsTemba@Ndolezi_Petro Ila siasa ni hisabati. Mwisho wasiku mtakuja fanya ambayo yalishafanywa na Maalim Seif huko Zanzibar. Mnasusia kujiandikisha mtasusia uchaguzi mwisho wa siku mtakuja kumtambua Rais. Mitano tena hadi 2030. Na bungeni pia upinzani utakuwepo na akidi itatimia.
@eastafricatv@earadiofm Unaachaje mtoto wa mwaka mmoja anaetambaa pekeyake? Akidondokewa na kitu kizito au ndoo za maji? Mie naona ajali kama ajali zengine tu.
@IAMartin_@masoudkipanya Na wewe hata hukujali kutokuwa sehemu ya mabadiliko. Ukachagua upande wako ambao ingetokea mmeshinda saiz wangekuwa wanafukia hayo makaburi kuzika chama.