#Repost@hechejohn
Watanzania wengi wanaporwa haki zao kwasababu ya kutokujua..
Unaenda Kwenye shughuli ya wananchi na mabunduki ili kuwajaza hofu waogope upate upenyo wa kupora mali zao.
Nampongeza sana huyu mama kwa namna ambavyo amejisimamia.
Aliepaswa kupima ardhi na kupanga mji alikua wapi miaka yote hii?
Watu wamejenga hao watu wa ardhi na manispaa ipo inaona alafu leo ndio wanaleta vitisho kwa wananchi.
Shame on you ccm na Utawala dhalimu.