@PMadeleka Nakuona upo kwenye kichunguu na miti ya miembe kwa nyuma unaonekana.haya bhana.hakuna mnyamwezi fala.ukijichanganya hapo tabora station wanapita na wewe
@MarekaMalili Sasa mkubwa mwingine si ndo kashikilia ripoti.anaona mambo yake yanaenda kodi halipi biashara zake hakuna bughuza.wewe kula kulala acha ukome kwa kihelehele chenu
@Sisimizi3@SuluhuSamia Mnamaliza hela za kodi za wananchi bure.suluhisho wawajibike walioangiza maaskari kupiga risasi na waliopiga risasi wananchi vibandani na majumbani