mbalimbali kama vile KAPSEN, ROADKING MIRAGE, EVERTON, DOUBLE ROAD, FARROAD, CHENGSHAN, MIRAGE, EVERLAND, huku tukiwa wasambazaji wa wakuu wa tyre THREE-A brand ambazo zimejipatia sifa kubwa sana kwenye gari kubwa za mizigo.
@Buberwa_ Utakuta mafundi wengi sikuhizi wamegeuka influencers, wakipondea magari fulani kuwa "ukiyanunua ni lazima ushinde garage sana" wanawaambia nunueni gari hizi na zile, na gari zote wanazoshauri ni yale matoleo ya zamani.
Bongo hatuna mafundi, wengi wamejifunzia miembeni.
@Happinesmlay No wonder dunia ya leo magonjwa ni mengi sana, mwili unapambana na sumu nyingi kama hivyo, ukijitahidi sana ni miaka 30+ unazidiwa magonjwa yanachukua nafasi.
Imagine kila siku unatumia nyanya zenye sumu kama hivyo.