@ayubu_madenge@KabongeIbrahim Mau Boy, schoolmate yupo sawa, anamaanisha mzingo au mzunguko wa (Duara) Tanzania, Siyo ukubwa wa eneo la Tanzania(SqKm cover)
@ayubu_madenge Ila wewe jamaa, yaan Tump speech zake unataka uzifananishe na za Obama kweli, Obama alikuwa akisimamisha nywele za Wamarekani kwa taarifa Yako, Kuna muda unaleta simbi za ajabu aise๐ ๐ ๐
@HabarimpyaTv Wewe hujuwi kitu Kanal Hana nyota mbili. Level ya Kanal ni Adam na Hawa(Ngao) plus nyota mbili,
Ukisema nyota mbili si Kanali tena huyo ni luten, Kabla ya Makala jitahidi kusoma vitu, Pia ADC ni ngumu kutokuwa Slaha ndogo yaan bastora
Dr Mallisa ni mtaalamu wa kukata mawimbi, 2010 yeye na wagaratia wenzie walianisha chama cha siasa CCK. Mwaka 2015 akagombea Urais kupitia chama chake cha CCK na NEC ya CCM ikafyeka jina lake๐, baadae akahamia CCM na 2021 alitaka kugombea ienyekiti wa CCM Taifa leo kaliwa KICHWA